Briggs & Stratton 030670-00 Manual page 183

1200a/2200a/3200a/6200a
Hide thumbs Also See for 030670-00:
Table of Contents

Advertisement

Available languages
  • EN

Available languages

  • ENGLISH, page 1
Kusafisha
Kila siku au kabla ya kutumia, anagalia karibu na chini
ya jenereta kwa ishara ya uvujaji wa mafuta. Safisha
uchafu wowote ambao umekusanyika. Weka sehemu
inayozunguka kifaa cha kunyamazisha eksozi huru
kutokana na uchafu.
• Tumia brashi laini ili kulegeza uchafu an mafuta
ambayo yamekauka.
• Tumia kitambaa baridi kupanguza ili kusafisha
sehemu za nje
NOTISI Matumizi mabaya ya jenereta yataiharibu na
kupunguza kudumu kwake. Usiiache jenereta wazi
kwenye unyevunyevu mwingi, vumbi, uchafu au mivuke
babuzi. Usiingize kifaa chochote kwenye mashimo ya
kufanya injini kuwa baridi.
Chunguza kizuia kelele na kizuia cheche
Injini ya kutolea mafula ina skirini ya kuzuia cheche.
Kagua kifaa cha kunyamazisha eksozi kwa nyufa, kutu
au uharibifu mwingine wowote. Kagua skirini ya kushika
cheche kwa uharibifu au kufungwa na kaboni. Safisha
kama kaboni imeonekana kufunga kutumia brashi na
bidha ya kutengenezea au kubadilisha uharibifu huyo.
Uharibifu ukionekana wasiliana na muuzaji wa huduma
aliyeidhinishwa.
ILANI! Joto ya gesi ya Eksozi/inaweza
kuwasha vitu vinavyoweza kuwaka, haribu
miundo au tenki ya mafuta na
kusababisha athari ya moto, ambayo inaweza sababisha
kifo au majeraha makubwa. Kugusana na eneo hili la
mafla kunaweza kusababisha kuungua na hivyo basi
kusababisha majeraha mabaya. Kuwa makini na maonyo
yaliyo kwa jenereta. Usiguze sehemu moto na epuka gesi
moto zinazotolewa.
Uhifadhi
Kama unahifadhi kifaa hiki kwa zaidi ya siku 30, tumia
miongozo ifuatayo ili kuandaa hifadhi.
Maelekezo ya Uhifadhi wa Muda Mrefu
Mafuta yanaweza kuharibika endapo yatahifadhiwa zaidi
ya siku 30. Mafuta yaliyoharibika yanaweza kusababisha
mabaki ya asidi na gamu na kufanya mabaki haya
kubakia kwenye mfumo wa mafuta au kwenye sehemu
muhimu za kabyureta. Ili uweke mafuta yakiwa sawa,
tumia Fomyula Bora ya Dawa & Kisawazisha Mafuta ya
Briggs & Stratton
, inayopatikana mahali popote vipuri
®
halisi vya ukarabati vinauzwa.
Hakuna haja ya kuondoa mafuta kutoka kwenye injini
kama kidhibiti cha mafuta kitaongezwa kulingana na
maelekezo yaliyotolewa. Endesha injini kwa dakika 2
ili kuzungusha kidhibiti kwenye mfumo wote wa mafuta
kabla ya uhifadhi.
Kama mafuta kwenye injini hayajatiwa dawa kwa kutumia
kidhiti cha mafuta, lazima yaondolewe na kuwekwa
kwenye mkebe ulioidhinishwa. Endesha injini mpaka pale
itakaposita kutokana na ukosefu wa mafuta. Matumizi
ya kidhibiti cha mafuta kwenye mkebe wa kuhifadhi
yanapendekezwa ili kuhakikisha mafuta hayo ni mazuri.
ILANI! Mafuta na mivuke yake
yanaweza kuwaka na kulipuka hivyo
yanaweza kuchoma, washa moto au
mlipuko na kusababisha kifo au majeraha makubwa.
Wakati unahifadhi mafuta au mitambo iliyo na mafuta
kwenye tangi, ihifadhi mbali na tanuu, stovu, vipashaji
maji moto, vikaushaji vya nguo, au mitambo mingineyo
iliyo na taa zilizoko kwenye sehemu ya mbele au chanzo
kingine cha kuwaka kwa sababu inaweza kuwasha
mivuke ya mafuta. Unapoondoa mafuta zima jenereta na
uwache ipoe angalau dakika 2 kabla ya kutoa kifuniko
cha mafuta. Legeza kifuniko taratibu ili kupungua
shinikizo kwa tanki. Jaza tangi la mafuta ukiwa nje ya
nyumba. Weka mafuta mbali na cheche, moto ulio wazi,
taa ya kujaribia, joto, na vyanzo vingine vya moto. Angalia
mistari ya mafuta, tenki,kofia na sehemu za kuunganisha
mara nyingi kwa nyufa au mtiririko. Badilisha kama
itahitajika.
Kubadilisha Oili ya Injini
Huku injini ikiwa ingali moto, toa mafuta kutoka
kwa krankikesi Jaza na mafuta ya daraja ambayo
mependekezwa. Angalia Kubadilisha Mafuta ya Injini.
Vidokezo Vingine vya Kuhifadhi
1. Safisha jenereta kama ilivyoainishwa kwa Kusafisha.
2. Weka jenereta mahali pasafi na pakavu na ufunike na
kifaa zha kukinga ambacho hakileti unyevunyevu.
ILANI! Fifuniko vya uhifadhi vinaweza
kusababisha moto na hatimaye kifo au majeraha
mabaya. Usiwekee kifuniko ya kihifadhi juu ya
jenereta iliyo moto.Wacha vifaa vipoe kwa muda wa
kutosha kabla ya kuweka kifuniko juu yake.
7

Hide quick links:

Advertisement

Table of Contents
loading

This manual is also suitable for:

030671-00030685-00030672-00030686-00030673-00

Table of Contents