Briggs & Stratton 030670-00 Manual page 182

1200a/2200a/3200a/6200a
Hide thumbs Also See for 030670-00:
Table of Contents

Advertisement

Available languages
  • EN

Available languages

  • ENGLISH, page 1
Hatua 4: Kuunganisha Vyombo vya Umeme
Kielelezo
1
Tumia tu nyaza zenye uzuri wa viwango vya juu kwa
mujibu wa IEC 245-4 na jenereta njia ya 230 Volti AC.
Kagua nyaya za kuongeza kabla ya kutumia. Angalia
kuwa kila nyaza za kuunganisha hazijaharibika na pia
kupimwa kwa viwango vinavyofaa. Unapotumia nyaya
za kuongeza kamba chini ya digrii 40, jumla ya urefu wa
kamba kwa sehem ya msalaba iwe ya 1.5 mm² na isizidi
mita 50 au kwa kila sehemu ya mslaba iwe 2.5 mm²
isizidi mita 80.
ONYO! Nyaya za kuongezea zilizozidisha uzito
au zilizoharibika zinaweza kuwa moto zaidi,
kujikunja na kuchomeka na kusababisha kifo au
majeraha makubwa. Vifaa vya elektroniki, zikiwemo
nyaya na vizibo vya kuunganisha havifai kuwa na hitilafu.
NOTISI Hakikisha kuwa wimbi kuu (D) (6200A PEKEE)
iko ON nafasi ya (I). Unganisha vifaa vya elektroniki ikiwa
kwa sehemu ya OFF kisha weka ON kwa oparesheni.
230 Volt AC, 16 Amp, Kifaa cha Kupokea
Tumia kifaa cha kupokea (E) ili kutumia volti AC 230, kwa
awamu moja, 50 Hz kwa uzito wa electroniki. Chombo
cha kutumika kinafaa kulindwa kutokana na uzito kwa
kushinikiza upya mzunguko wa wimbi (C).
Ulinzi wa sehemu za elektroniki untagemea mizunguko
ya mawimbi ambayo yanaendana hasa kwa jenereta.
Badilisha mzunguko wa mawimbi na nyingine ya
kufanana na pia sifa za utendaji kazi wa kufanana.
ONYO! Mtagusano na chanzo cha nguvu za
umeme kunaweza kusababisha mshtuko wa
kielektriki au kuungua kunakoweza kusababisha
kifo au jeraha mbaya. Tumia kifaa cha kuvunja umeme
kwa sehemu iliyo baridi au sehemu ambayo ina viwango
vya hali ya juu sana vya kunasa umeme kama vile kazi
za chuma. Usiguze nyaya zilizo wazi au tundu. Usitumie
jenereta ya electroniki na nyaya ambazo ni kongwe
ambazo zinagusana zilizo wazi au vinginevyo
zilizoharibika. Usitumie jenereta kwenye mvua ama hali
ya mvua yenye maji Usishike jenereta au nyaya za
umeme ukiwa umesimama kwa maji, ukiwa miguu mitupu
ama mikono na miguu ikiwa baridi. Usiruhusu wati
ambao hawajahitimu ama watoto kuendesha au
kuhudimia jenereta. Weka watoto mahali salama mbali
na jenereta.
Hatua 5: Kuzimika kwa Jenereta
1. Zima jenereta halafu ondoa vifaa vyotre kwenye
sehemu ya matundu. Usizimishe injini huku vifaa vya
elektroniki vikiwa bado vipo kwa jenereta na bado
imewashwa.
2. Wacha Injini ieneshwe kwa sehemu ya bila mzigo
kwa dakika moja ili kutuliza joto la ndani la injini na
jenereta.
3. Badilisha swichi ya injini hadi nafasi ya OFF (0).
4. Zungusha valvu ya mafuta hadi kwenye sehemu ya
OFF (0)
6
Ukarabati
Ratiba ya Udumishaji
Fuata kila saa au vipinda vya kalenda, kwa namna
yoyote itakayotokea ya kwanza. Huduma ya mara kwa
mara zaidi inahitajika wakati unapoendesha kwenye hali
mbaya zaidi.
Masaa matano ya kwanza
• Badilisha mafuta ya injini
Kwa kila masaa manane ama kila siku
• Safisha uchafu
• Kagua kiwango cha mafuta injini
Kwa kila masaa hamsini ama kila mwaka
• Safisha kichujio cha hewa cha injini
Kwa kila masaa hamsini ama kila mwaka
• Badilisha mafuta ya injini
Kila Mwaka
• Badilisha kichujio cha hewa cha injini
• Hudumia valvu ya mafuta
• Hudumia Spaki Plagi
• Kagua kifaa cha kunyamazisha eksozi na ya
kushika cheche
• Safisha mfumo wa kupooza
Hudumia mara nyingi zaidi katika hali chafu au iliyo na vumbi.
1
Mapendekezo Kwa Ujumla
Ukarabati wa mara kwa mara utaboresha utendakazi
na kurefusha maisha kwa kioshaji kwa presha. Tazama
wauzaji wengine wa Utoaji Huduma hii Walioidhinishwa
wa Briggs & Stratton kwa kupata huduma. Kufunga
na pia ukarabati mkubwa pia lazima ufanywe na mtu
ambaye amefunzwa hasa kushughulikia jambo hilo.
Udhamini wa kioshaji kwa presha haujumlishi vitu,
ambavyo vimetumiwa vibaya au kupuuzwa na
anayevitumia. Ili kupata thamani kamili kutoka kwa
udhamini, lazima mtumizi atunze jenereta kama vile
amaelekezwa kwenye muongozo huu.
Marekebisho yoyote na huduma zinafaa kufanywa
angalau mara moja kila msimu. Cheche mpya za
kuziba na kichujio cha kusafisha hewa ili kuhakikisha
mchanganyiko mzuri wa hewa na mafuta ili kusaidia
injini yako kuendeshwa vyema na pia kudumu kwa muda
mrefu. Fuata matakwa kwa Ratiba ya Udumishaji.
ILANI Ili kuhakikisha usalama wa mashine, tumia
vipuri asili tu kutoka kwa watengenezaji au
vilivyothibitishwa na watengenezaji. Endapo utakuwa na
maswali yoyote kuhusu kusawazisha vipuri hivi kwenye
kioshaji kwa shinikizo yako, tafadhali tembelea tovuti
yetu katika BRIGGSandSTRATTON.COM.
1
1
1
1
BRIGGSandSTRATTON.COM

Hide quick links:

Advertisement

Table of Contents
loading

This manual is also suitable for:

030671-00030685-00030672-00030686-00030673-00

Table of Contents