Briggs & Stratton 030670-00 Manual page 180

1200a/2200a/3200a/6200a
Hide thumbs Also See for 030670-00:
Table of Contents

Advertisement

Available languages
  • EN

Available languages

  • ENGLISH, page 1
Operesheni
Hatua 1: Eneo Salama
Kabla ya kuanzisha jenereta ya kubebeka kuna mambo
mawili muhimu ya kuzingatiwa kuhusiana na sumu ya
kaboni monoksidi na moto ambayo lazima yazingatiwe.
Eneo la operesheni ya jenerata ya kubebeka
ili KUPUNGUZA HATARI YA SUMU YA KABONI
MONOKSIDI
ONYO! Kitolea moshi cha injini kinayo gesi
yenye sumu ya kaboni monoksidi, inayoweza
kuua kwa dakika chache. Huwezi kuinusa,
kuiona, au hata kuiramba. Hata kama huwezi kunusa
mafusho yanayotolewa, bado unaweza kukumbana na
gesi ya kaboni monoksidi. Tumia bidhaa hii nje ya
nyumba pekee mbali na madirisha, milango matundu ya
kupitishia hewa ili kupunguza hatari ya Kaboni monoksidi
dhidi ya kukusanyika na kuwa na uwezo wa kuvutwa
kuelekea kwenye nafasi zile Zingine. Weka ving'ora vya
Carbon Monoxide vinavyoendeshwa betri au ving'ora vya
kaboni monoksidi vya kuchomekwa vilivyo na chelezo
cha betri kulingana na maelekezo ya mtengenezaji.
Ving'ora vya moshi haviwezi kugudua gesi ya kaboni
monoksidi. Usitumie bidhaa hii ndani ya nyumba, gareji,
vyumba vya chini kwa chini, nafasi za kutambalia,
vibanda vya kuifadhia vitu, au sehemu nyingine
zilizofunikwa-kiasi ata kama unatumia feni au unaifungua
milango na madirisha kwa minajili ya kupitisha hewa.
Kaboni monoksisdi inaweza kushinikiza kwenye nafasi
hizi na kubakia hapo kwa saa kadhaa, hata baada ya
bidhaa hii kuzimwa. SIKU ZOTE weka bidhaa hii mahali
ambapo upepo unavuma ukielekea na uelekeze kitolea
moshi cha injini mbali na nafasi hizi tumika. Ukianza
kuhisi mgonjwa, kisuzi, au mnyonge wakati unatumia
bidhaa hii, nenda mahali penye hewa safi mara moja.
Muone daktari. Huenda unaweza kuwa umepumua sumu
ya kaboni monoksidi.
TUMIA NJE - ZUIA SUMU YA KABONI MONOKSIDI
USE OUTDOORS - AVOID CARBON MONOXIDE POISONING
KIFAA CHA KUNYAMAZISHA EKSOZI
MUFFLER
elekeza mbali
point away
na boma
from home
4
Eneo la Operesheni la Jenereta ya Kubebeka ya
KUPUNGUZA HATARI YA MOTO
ILANI! Joto ya gesi ya Eksozi/inaweza kuwasha
vitu vinavyoweza kuwaka, haribu miundo au tenki
ya mafuta na kusababisha athari ya moto, ambayo
inaweza sababisha kifo au majeraha makubwa. Ni lazima
jenereta ya kubebeka iwe mita 1.5 (futi 5) mbali na jengo
lolote, ikining'inia, miti, madirisha, milango au kuta zozote,
vichaka au mimea yenye urefu wa zaidi ya sentimita 30.5
(inchi 12). Usiweke jenereta ya kubebeka chini ya staha
ama aina nyingine yoyote ya jengo ambalo litazuia
upitishaji wa hewa nyingi. Lazima ving'ora vya moshi
viwekwe na vihifadhiwe ndani kulingana na maelekezo na
mapendekezo ya mtengenezaji. Ving'ora vya kaboni
monoksidi haviwezi gundua moshi. Usiweke jenereta ya
kubebeka kwa njia nyingine isipokuwa ile imeonyeshwa.
Mita 1.5 (Futi 5).
KIFAA CHA
KUNYAMAZISHA EKSOZI
Mita 1.5
(Futi 5).
VING'ORA VYA KABONI
CARBON MONOXIDE ALARM(S)
MONOKSIDI
Install carbon monoxide alarms
Weka ving'ora vya kaboni monoksidi
inside your home. Without working
kwa boma lako. Bila ving'ora vya kaboni
carbon monoxide alarms, you will
monoksidi vinavyofanya kazi, hutaweza
not realize you are getting sick
kugundua unapoa endelea kugonjeka na
and dying from carbon monoxide.
pia kufa kwa sumu ya kaboni monoksidi.
BRIGGSandSTRATTON.COM

Hide quick links:

Advertisement

Table of Contents
loading

This manual is also suitable for:

030671-00030685-00030672-00030686-00030673-00

Table of Contents