Briggs & Stratton 030670-00 Manual page 181

1200a/2200a/3200a/6200a
Hide thumbs Also See for 030670-00:
Table of Contents

Advertisement

Available languages
  • EN

Available languages

  • ENGLISH, page 1
Hatua 2: Mafuta
Mapendekezo ya Mafuta Kielelezo
Tunapendekeza matumizi ya mafuta Yaliyoidhinishwa
ya Udhamini wa Briggs & Stratton kwa utendakazi bora
zaidi. Mafuta mengine ya ubora wa juu ya kitakasaji
yanakubalika endapo yameainishwa kuwa ya huduma ya
SF, SG, SH, SJ au juu zaidi. Usitumie viongezi spesheli.
Hali ya joto ya nje ya nyumba huamua mnato na uzito wa
mafuta hayo katika injini husika. Tumia chati kuchagua
mnato bora kwa ajili ya joto la nje linalotarajiwa.
* Chini ya 4°C (40°F) matumizi ya SAE 30 itasababisha ugumu
wakati wa kuwasha.
** Zaidi ya 27°C (80°F) matumizi ya 10W30 yanaweza
kusababisha kuongezeka kwa matumizi ya mafuta. Angalia
kiwango cha mafuta mara nyingi zaidi.
Kuangalia/Kuongeza Mafuta ya Injini Kielelezo
Kiwango cha mafuta kinafaa kukaguliwa kabla ya kila
matumizi au angaa kila baada ya saa 8 za operesheni.
Hakikisha kiwango cha mafuta kinatosha na hakipungui.
1. Hakikisha kuwa jenereta iko juu ya sehemu tambarare
2. Safisha sehemu ya kuwekea mafuta (1,H) na
uondoe kizibo/pima
3. Thibitisha kuwa mafuta yako alama kamili (3,A) kwa
kijiti cha kupimia
4. Kama itahitajika, tia mafuta taratibu kupitia kwenye
sehemu hiyo ya kujazia mafuta hadi kufikia kwenye
alama ya KUJAA kwenye kijiti hicho husika. Usijaze
kupita kiasi.
5. Badilisha na ukaze kifuniko cha sehemu ya kujazia
mafuta/kujiti cha kupimia.
NOTISI Usijaribu kuzungusha au kuwasha injini kabla
ijahudumiwa vizuri na mafuta yaliyopendekezwa. Hii
inaweza kuharibu injini.
TAHADHARI Epuka mgusano wa ngozi wa mara kwa
mara au wa muda mrefu na mafuta ya gari yaliyotumika.
Mafuta ya gari yaliliyotumika yameonekana kusababisha
saratani ya ngozi katika baadhi ya wanyama wa
maabara. Safisha kwa kina maeneo yaliyo na jeraha au
wazi kwa sabuni na maji.
WEKA MBALI KUTOKA KWA WATOTO.
USICHAFUE. LINDA RASILIMALI. RUDISHA
MAFUTA YALIYOTUMIKA KWA VITUO VYA
KUKUSANYA.
Ongeza Mafuta Kielelezo
Lazima mafuta yatimize viwango hivi:
• Safi gasolini ambayo haina madini ya ledi na yenye
kiwango cha oktane kisichopungua 87
• Gasolini yenye kiwango cha hadi 10%cha ethanoli
inakubalika
NOTISI Usichanganye mafuta kwenye petroli
au kubadilisha injini ili iweze kuendeshwa kwa
kutumia mafuta tofauti. Usitumie mafuta ambayo
hayajaidhinishwa kama vile E15 na E85. ARIFA Matumizi
ya mafuta ambayo hayajaidhinishwa yanaweza kuharibu
jenereta na kuharibu udhamini wa mashine haya.
Angalia Mwinuko wa Juu kwa mita 1524 (futi 5000) na juu.
ILANI! Mafuta na mivuke yake
yanaweza kuwaka na kulipuka hivyo
yanaweza kuchoma, washa moto au
mlipuko na kusababisha kifo au majeraha makubwa.
Usiongeze mafuta wakati jenereta inatumika. Zimisha
2
1 3
4
injini na uwache ipoe angalau kwa dakika 2 kabla ya
kuondoa kizibo cha mafuta. Jaza tenki ya mafuta nje.
Usimwage mafuta. Kama mafuta yatamwagika, subiri
mpaka pale ambapo yatakapoyeyuka kabla ya kuwasha
injini. Weka mafuta mbali na cheche, moto ulio wazi, taa
ya kujaribia, joto, na vyanzo vingine vya moto. Angalia
mistari ya mafuta, tenki,kofia na sehemu za kuunganisha
mara nyingi kwa nyufa au mtiririko. Badilisha kama
itahitajika. Usiwashe wala kuvuta sigara.
1. Taratibu ondoa kizibo cha mafuta ili kupunguza
shinikizo kwa tenki.
2. Taratibu ongeza mafuta yasiyo na madini ya ledi (A)
ili kujaza tenki(B). Kuwa mwangalifu usijaze hadi juu
ya ukingo (C). Hii inawacha nafasi ya kutosha kwa
ajili ya upanuzi wa mafuta.
3. Weka kifuniko cha mafuta na uwache mafuta yote
yaliomwagika yayeyuke kabla uwashe injini.
Mwinuko wa Juu
Kwa mwinuko wa zaidi ya mita 1524 (futi 5000) mafuta
yenye kiwango cha chini cha oktane cha 85 kinakubalika.
Ili kubakia na uzalishaji unao kubalika, marekebisho ya
sehemu za mwinuko marekebisho yanahitajia. Operesheni
bila marekebisho haya yatasababisha upungufu kwa
utekelezaji, kuongezeka kwa matumizi ya mafuta, na
kuongezeka kwa uzalishaji wa uchafu.
Sema na muuzaji wa Briggs & Stratton aliyeidhinishwa
kwa maelezo zaidi kuhusu marekebisho ya miinuko ya
juu. Operesheni ya injini katika sehemu za milimani zilizo
chini ya mita 762 m (futi 2500) pamoja na mkoba wa
sehemu za milima ya juu haipendekezwi.
Kusafirisha
Unaposafirisha kifaa kwa gari au trela,zungusha valvu
ya kufunga mafuta hadi sehemu ya OFF (0) Usiweke
injini au mitambo katika hali ambayo itasababisha mafuta
kumwagika.
Hatua 3: Kuwasha Jenereta Kielelezo
Katiza vifaa vyote vya electroniki kwenye jenereta. Tumia
maelezo ya kuanzia yafuatayo:
1. Hakikisha kuwa bidhaa iko nje mahali tambarare.
NOTISI Kushindwa kuweka bidhaa kwenye sehemu
tamabarare wakati wa operesheni kutasababisha
mashine hii kuharibika.
2. Zungusha valvu ya mafuta (N) hadi sehemu ya
ON (I).
3. Songesha leva (L) hadi nafasi ya CHOKE (
NOTISI Kwa injini yenye joto, hakikisha kwamba leva ya
kusakama iko kwenye sehemu ya (
4. Weka swichi ya injini (B) kwa ON nafasi ya (I)
5. Kamata nywea za kushughulikia kisha vuta taratibu
hadi uhisi ugumu japo kiduchu. Kisha vuta kwa
haraka ili kuwasha injini.
6. Huku injini inaendelea kupata joto taratibu songesha
leva ya kusakama kwa nafasi (
NOTISI Hiki chombo kimewekwa kifaa cha kulinda
kupungua kwa mafuta hadi kiwango cha chini. Mafuta
lazima yawe kwa kiwango sahihi ili injini ifanye kazi.
Mafuta ya injini yakipungua yakawa madogo kuliko
viwango vilivyowekwa swich ya mafuta itasimamisha
injini. Angalia kiwangi cha mafuta na kujiti cha kupimia.
1
).
) wa KUENDESHA.
) ili KUENDESHA
5

Hide quick links:

Advertisement

Table of Contents
loading

This manual is also suitable for:

030671-00030685-00030672-00030686-00030673-00

Table of Contents