Briggs & Stratton 030670-00 Manual page 179

1200a/2200a/3200a/6200a
Hide thumbs Also See for 030670-00:
Table of Contents

Advertisement

Available languages
  • EN

Available languages

  • ENGLISH, page 1
Yaliyomo
Usalama na Alama za kuelekeza . . . . . . . . . . . . . . . 3
Maelezo ya Vifaa . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 3
Vipengele na Vielekezi . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 3
Operesheni . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 4
Udumishaji. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 6
Kuhifadhi . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 7
Utatuaji wa Matatizo . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 8
Maelezo ya Kina . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 8
Udhamini . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 9
Usalama na Ishara za Kuelekeza
Ishara ya usalama na tahadhari inaonyesha hatari
ya jeraha la kibinafsi linaloweza kufanyika. Ishara ya
usalama inaweza kutumika kuwakilisha aina ya hatari.
ILANI inaonyesha hatari ambayo isipoepukwa, inaweza
kusababisha kifo au majeraha makubwa. TAHADHARI
inaonyesha hatari ambayo isipoepukwa, inaweza
kusababisha majeraha madogo au ya wastani. ILANI
inahusisha mazoea yasiyohusiana na majeraha ya
kibinafsi.
Mwongozo wa
Ishara ya Usalama
Moto
Mshtuko wa
Stima
King'ora cha
Yaliyo Upande
Kaboni Monoksidi
wowote
Kiwango cha
Mafuta
mafuta
Washa
Kukosa Hewa
Kukosa Hewa
Mvuke wa
Maelekezo
Sumu
Mlipuko
Eneo lenye
Kuelekeza umeme
Mafuta
ardhini
Kudhibiti injini
Usiwashe Injini
Zima
Kifaa ya Kuvunja
Saketi
Sakama
Endesha
Maelezo ya Vifaa
Soma mwongozo huu kwa makini na uelewe
kuitumia jenereta yako ya nje. Jua matumizi
yake, upungufu wake, na hatari zozote
zinazohusika. Hifadhi maelekezo haya asilia
kwa marejeleo ya siku zijazo.
Jenereta ya nje inaendeshwa na injini, sumaku
inayozunguka, jenereta inayotumia mfumo wa umeme
wa (AC) na kidhibiti cha volteji. Kidhibiti cha volteji
kimeundwa ili kidumishe moja kwa moja kiwango cha
volteji kinachotolewa. Imeundwa kwa ajili ya kusambaza
umeme unaotumiwa kwa taa za umeme zinazofaa,
vifaa, zana na nguvu ya kifaa kinachotumia mitambo au
umeme kujenga mwendo.
Mashine hii haikuniwa kutumiwa na watu (wakiwemo
watoto) walio na upungufu wa kimwili, kihisia au kiakili,
au wenye ukosefu wa uzoefu na maarifa.
Kila jitihada imefanyika ili kuhakikisha kuwa taarifa
katika mwongozo huu ni sahihi na wa kisasa. Hata
hivyo, tunahifadhi haki ya kubadilisha, kurekebisha, au
vinginevyo kuboresha bidhaa hii na waraka huu wakati
wowote bila arifa ya mapema.
ILANI Kama unayo maswali kuhusu matumizi
yaliyonuiwa, mwulize mwuzaji au wasiliana na kituo cha
huduma kinachofaa. Mtambo huu umeundwa kutumiwa
pamoja na vipuri vilivyoidhinishwa kutoka kwa
Briggs & Stratton Power Products PEKEE.
Mfumo wa Kuelekeza Umeme kwa Ardhi
Jenereta ina mfumo msingi wa kuelekeza umeme kwa
ardhi ambayo inaunganisha vipengele vya fremu ya
jenereta katika sehemu ya kupokea umeme ya AC.
joto
Jenereta isiyo na njia ya kuelekeza umeme kwa ardhi
ina maana kuwa steta ya AC imetengwa na kitango cha
kuelekeza umeme kwa ardhi na sehemu ya kupokea
umeme ya AC. Vifaa vya elektroniki kama vile RCD
vinavyohitaji msingi usioegemea popote huenda usifanye
kazi vizuri na jenereta hii.
Mahitaji Maalum
!
Kunaweza kuwa na kanuni, sera au sheria za nchi au
eneo zinazohusiana na matumizi ya jenereta. Tafadhali
pata ushauri wa mhudumu wa umeme aliyehitimu,
mkaguzi wa umeme ama wakala mwenye mamlaka wa
eneo lako.
Jenereta hii haijanuiwa kutumika katika eneo la ujenzi.
Vipengele na Vielekezi
Kielelezo
A
Tangi la Mafuta
B
Swichi ya injini
C
Kifaa ya Kuvunja Saketi
D
Kifaa Kikuu ya Kuvunja
Saketi (6200A PEKEE)
E
230 Volt AC, 16 Amp,
Schuko Receptacle
F
Kitango cha kutuliza
G
Kitambulisho cha injini
H
Kifuniko cha kujaza
mafuta/kijiti cha kupimia
1
J
Plagi ya Kumwaga Oili
K
Kichujio cha Hewa
L
Leva ya Kusakama
M
Kiwashi cha Waya
N
Valvu ya Mafuta
P
Lebo ya Utambulisho
Q
Cheche za kuzuia mafula
3

Hide quick links:

Advertisement

Table of Contents
loading

This manual is also suitable for:

030671-00030685-00030672-00030686-00030673-00

Table of Contents