Briggs & Stratton 2691184-00 Operator's Manual page 71

Hide thumbs Also See for 2691184-00:
Table of Contents

Advertisement

Available languages
  • EN

Available languages

  • ENGLISH, page 1
Maelezo
Chati ya Maelezo
Kipengee
Silinda
Unyonyaji Mafuta
Mfumo wa Umeme
Kiwango cha Oili ya Injini
Pengo la Plagi ya Spaki
Mkufu wa Plagi ya Spaki
Ukubwa wa Tangi la Mafuta
Vipimo vya Umeme
Kipimo kamili cha umeme kwa miundo ya injini za petroli kimewekwa kulingana na SAE (Jamii ya Wahandisi wa Magari) msimbo
J1940 Utaratibu wa Kipimo cha Umeme & Mkufu wa Injini Ndogo na umepimwa kulingana na SAE J1995. Viwango vya mkufu
vinafikia 2600 RPM kwa injini zenye "rpm" iliyowekwa kwenye lebo na 3060 RPM kwa injini zingine zote; viwango vya nguvu ya
injini vinafikia 3600 RPM. Vizingo vya umeme kamili vinaweza kutazamwa katika www.BRIGGSandSTRATTON.COM. Viwango
jumla vya umeme vinachukuliwa ekzosi na kisafishaji hewa zikiwa zimewekwa ilhali viwango vya umeme jumla vinachukuliwa
bila vipengee hivi kuwekwa. Nguvu kamili halisi ya injini itakuwa juu zaidi kuliko nishati ya injini na yanaathiriwa na, miongoni
mwa mambo mengine, hali iliyoko ya kuendesha na utofauti wa injini hadi nyingine. Kukiwa na bidhaa nyingi ambazo vimewekwa
injini, injini ya petroli huenda ikakosa kufikia kadirio la nguvu kamili inapotumiwa katika kifaa cha umeme. Tofauti hii inatokana
na vipengele mbalimbali zikijumuisha, lakini sio tu, vijenzi mbalimbali vya injini (kisafishaji cha hewa, ekzosi, kuchaji, upunguzaji
halijoto, kabureta, pampu ya mafuta, n.k), vipimo vya matumizi, hali zilizoko za kuendesha (halijoto, unyevunyevu, mwinuko), na
utofauti kati ya injini moja hadi injini nyingine. Kutokana na vipimo vya utengenezaji na uwezo, Briggs & Stratton wanaweza
kuibadilisha injini hii kwa injini iliyo na nguvu nyingi zaidi.
Sehemu na Vikorokoro
Wasiliana na muuzaji aliyeidhinishwa.
Briggs & Stratton
Single
30.59 cu in. (500 cc)
Altaneta: 9 amp Inayodhibitiwa
Betri: 12V-195 CCA
48 oz (1.4 L)
0.030 in. (0,76 mm)
180 in-lbs (20 Nm)
3.5 gal (13,2 L)
Briggs & Stratton
V-Twin
40.03 cu in. (656 cc)
Altaneta: 9 amp Inayodhibitiwa
Betri: 12V-195 CCA
64 oz (1.9 L)
0.030 in. (0,76 mm)
180 in-lbs (20 Nm)
3.5 gal (13,2 L)
Briggs & Stratton
V-Twin
44.18 cu in. (724 cc)
Altaneta: 9 amp Inayodhibitiwa
Betri: 12V-230 CCA
64 oz (1.9 L)
0.030 in. (0,76 mm)
180 in-lbs (20 Nm)
3.5 gal (13,2 L)
71

Advertisement

Table of Contents
loading

Table of Contents