Briggs & Stratton 2691184-00 Operator's Manual page 67

Hide thumbs Also See for 2691184-00:
Table of Contents

Advertisement

Available languages
  • EN

Available languages

  • ENGLISH, page 1
TREKTA NA MASHINE YA KUKATIA NYASI
Kagua hewa kwenye tairi
Kagua muda wa kusimama wa visu vya mashine ya kukatia nyasi
Kagua trekta na mashine ya kukatia nyasi kama kuna sehemu zilizolegea
Baada ya saa 50 au Kila Mwaka*
Safisha betri na kebo
Kagua breki za trekta
Mtembelee Muuzaji Kila Mwaka ili
Kulainisha trekta na mashine ya kukatia nyasi
Kagua visu vya mashine ya kukatia nyasi **
* Yoyote ile inayotangulia.
** Kagua mabapa mara nyingi zaidi katika maeneo yenye udongo wa
kichanga au hali za vumbi kali.
Onyo
Spaki zinazotokea bila kusudi zinaweza kusababisha moto
au mrusho wa stima.
Uwashaji usiotarajiwa unaweza kusababisha kunaswa,
kukatwa kwa viungo kwa kiwewe, au majeraha makali ya
ukataji wa ngozi.
Kabla ya kufanya marekebisho au ukarabati:
• Tenganisha waya ya plagi ya spaki na uiweke mbali na
plagi ya spaki.
• Tenganisha betri katika kichwa cha hasi (negative) (injini
tu zenye kianzishi cha umeme).
• Tumia zana sahihi pekee.
• Usihitilafiane na springi ya kidhibiti, viungo, au viungo
vingine ili kuongeza kasi ya injini.
• Sehemu za kubadilishia ni lazima ziwe za aina sawia na
ziwekwe katika eneo sawia kama sehemu asilia. Sehemu
nyingine huenda zisitfanye kazi kwa njia sawia, zinaweza
kuharibu kifaa, na inaweza kusababisha majeraha.
• Usigonge gurudumu la kuongeza kasi ya injini kwa nyundo
au kifaa kigumu kwa sababu gurudumu la kuongeza kasi
ya injini linaweza kuvunjika wakati wa kuendesha.
Saa 5 za Kwanza
Badilisha oili ya injini
Kila Baada ya Saa 8 au Kila Siku
Kagua kiwango cha oili ya injini
Kila Baada ya Saa 25 au Kila Mwaka*
Safisha chujio la hewa ya injini na kisafishaji cha awali **
Baada ya saa 50 au Kila Mwaka*
Badilisha oili ya injini
Badilisha chujio la oili
Kila Mwaka
Badilisha chujio la hewa
Badilisha kisafishaji cha mwanzo
Mtembelee Muuzaji Kila Mwaka ili
INJINI
Chunguza mafla na kishika spaki
Badilisha plagi ya spaki
Badilisha chujio la mafuta
Safisha mfumo injini wa kupoesha hewa
* Yoyote ile inayotangulia.
** Safisha mara nyingi zaidi katika mazingira ya vumbi au mabaki ya
yaliyorushwa yanapatika.
Kagua Pumzi ya Matairi
Kagua pumzi ya matairi mara kwa mara ili uweze kupata
uendeshaji bora na ili kuhakikisha unakata nyasi kwa njia bora
zaidi (rejelea Kielelezo 6).
Kumbuka: Viwango hivi vya pumzi vinaweza kutofautiana kidogo
na "Pumzi ya Juu Zaidi" iliyoonyeshwa kwenye upande wa
matairi.
Kusafisha Betri na Kebo
Onyo
Wakati wa kuondoa au kuweka kebo za betri, tengenisha kebo
hasi (negative) KWANZA na kisha iunganishe tena ikiwa ya
MWISHO. Ikikosa kufanyika kwa mpangilio huu, kichwa
chanya (positive) kinaweza kupata shoti kwenye fremu na
zana.
1. Tenganisha kebo na betri, kebo hasi (-) kwanza.
2. Ondoa mkanda wa kushikilia betri na betri.
3. Safisha chumba cha betri ukitumia mchanganyiko wa
magadi ya kuumulia na maji.
4. Safisha vichwa vya betri na ncha za kebo na brashi yenye
waya mpaka zing'ae.
5. Funga tena betri kwenye chumba cha betri upya, na ukaze
na mkanda wa kushikilia betri.
6. Weka kebo za betri tena, kebo chanya (+) kwanza (A, B,
Kielelezo 7).
7. Paka vichwa vya betri na kebo mafuta ya mgando au upake
grisi isiyopitisha umeme.
Chaji Betri
Onyo
Weka moto wazi na cheche mbali na betri; gesi zinazotoka
kwenye betri zina uwezekano mkubwa sana wa kulipuka.
Weka betri kwenye hewa safi wakati wakuichaji.
Betri iliyokufa au ambayo ni dhaifu sana kuwasha injini inaweza
kusababisha dosari katika mfumo wa kuchaji au kijenzi kingine
cha umeme. Ikiwa kuna shaka yoyote kuhusu sababu ya tatizo,
INJINI
67

Advertisement

Table of Contents
loading

Table of Contents