Briggs & Stratton 2691184-00 Operator's Manual page 62

Hide thumbs Also See for 2691184-00:
Table of Contents

Advertisement

Available languages
  • EN

Available languages

  • ENGLISH, page 1
G
H
I
J
K
L
M
N
O
P
Q
R
62
Udhibiti wa Uendeshaji
Breki ya Kuegesha
Swichi ya Taa za Mbele
Kidhibiti Injini
Kidhibiti Injini Eneo la Linaloonyesha
POLEPOLE (SLOW)
Kidhibiti Injini Eneo la Linaloonyesha
HARAKA (FAST)
Kidhibiti cha Choki
Pedali za Kasi ya Ardhini
Ubadilishaji Urefu wa Kukatia wa
Mashine ya Kikatia Nyasi
Wenzo wa Kutoa Gia
Tangi la Mafuta
Pedali ya Breki
Uendeshaji
Eneo la Kuendeshea
1. Jifahamishe na eneo ambapo unapanga kuendeshea kifaa
cha kukatia nyasi.
2. Hakikisha kwamba eneo hili halina vifusi au vitu
vinavyoweza kurushwa na visu.
Hatari
Mashine hii ina uwezo wa kurusha vitu vinavyoweza
kuwajeruhi waliosimama kando au kusababisha uharibifu
kwenye majengo.
• Usiendeshe mashine bila kifaa kizima cha kukamata
nyasi, kifaa cha kutoa nyasi, au vifaa vingine vya usalama
vikiwepo na vikifanya kazi vizuri. Kagua mara nyingi kama
kuna dalili za kuchakaa na ubadilishe kama inahitajika.
• Ondoa vitu vyovyote vilivyo kwenye eneo la kuendeshea
ambavyo vinaweza kurushwa au kuhitilafiana na
utendakazi wa mashine.
3. Peleka kifaa cha kukatia nyasi nje, kabla ya kuwasha injini.
Onyo
Injini hutoa moshi wa sumu ya kaboni monoksidi, usio na
harafu, wala rangi. Kupumua kaboni monoksidi kunaweza
kusababisha kuhisi kutapika, kuzirai au kifo.
4. Kumbuka miteremko na maeneo yote yaliyoshuka ghafla.

Advertisement

Table of Contents
loading

Table of Contents