Briggs & Stratton 2691184-00 Operator's Manual page 60

Hide thumbs Also See for 2691184-00:
Table of Contents

Advertisement

Available languages
  • EN

Available languages

  • ENGLISH, page 1
Ishara ya Tahadhari ya Usalama na
Maneno ya Ishara
Ishara ya tahadhari ya usalama
usalama kuhusu hatari zinazoweza kusababisha jeraha la
kibinafsi. Neno la ishara (HATARI, ONYO, or TAHADHARI)
linatumika pamoja na alama ya ishara ili kuonyesha uwezekano
wa kujeruhiwa na ubaya wa jeraha hilo. Aidha, alama ya hatari
inaweza kutumika kuwakilisha aina ya hatari.
HATARI inaonyesha hatari ambayo, ikiwa haitaepukwa,
itasababisha kifo au majeraha mabaya.
ONYO inaonyesha hatari ambayo, ikiwa haitaepukwa,
inaweza kifo au majeraha mabaya.
TAHADHARI inaonyesha hatari ambayo, ikiwa haitaepukwa,
inaweza kusababisha jeraha ndogo au wastani.
ILANI inaonyesha hatua ambayo inaweza kusababisha uharibifu
wa bidhaa.
Ujumbe wa Usalama
Onyo
Soma, uelewa, na ufuate maagizo na onyo zote katika
mwongozo wa mwendeshaji mashine, injini, na viambatisho
kabla ya kuendesha mashine hii. Kukosa kuzingatia maagizo
ya usalama katika mwongozo huu na kwenye kifaa kunaweza
kusababisha kifo au majeraha mabaya.
• Ruhusu tu waendeshaji wanaowajibika, waliopitia mafunzo
na wanaofahamu maagizo na wana uwezo wa kimwili wa
kuendesha mashine hii.
• Usiendeshe mashine hiyo ukiwa mlevi wa pombe au
dawa.
• Vaa miwani za usalama na viatu vilivyofungika.
• Usiweke mikono au miguu karibu na sehemu
zinazozunguka au chini ya mashine. Kaa mbali na
mwanya unaotoa nyasi nyakati zote.
• Weka mashine katika hali nzuri ya kufanya kazi. Badilisha
sehemu zilizochakaa au kuharibika.
• Kuwa mwangalifu unapofanyia visu huduma. Funga visu
au uvalie glavu. Badilisha visu vilivyoharibika. Usifanyie
visu ukarabati au kuvibadilisha.
• Tumia vifaa pana vya kupakia na kupakua mashine ktika
usafiri.
• Tazama kiambatisho au kikorokoro ili kujus uzani mwafaka
wa magurudumu.
• Ili kusaidia kuzuia moto, weka mashine bila nyasi, majani,
au vifusi vingine kusongamana; safisha oili au mafuta
yaliyomwagika na uondoe vifusi vyema mafuta na uwache
mashine ipoe kabla ya kuihifadhi.
60
inatambulisha maelezo ya
Onyo
Injini inayofanya kazi kaboni monoksidi, gesi isio na harafu,
wala rangi na ni ya sumu. Kupumua kaboni monoksidi
kunaweza kusababisha kuumwa na kichwa, uchovu,
kizunguzungu, kutapika, kichanganyikiwa, shtuko la moyo,
kichefuchefu, kuzirai au kifo.
• Endesha kifaa nje PEKE YAKE.
• Zuia gesi za ekzosi zisiingie eneo lililofungwa kupitia
madirisha, milango, sehemu zingine za uingiza hewa, au
mianya mingine.
Lebo za Usalama
Kabla ya kuendesha mashine yako, soma na uelewe lebo za
usalama. Linganisha Kielelezo 1 na jedwali lifuatalo. Tahadhari
na onyo ni kwa ajili ya usalama wako. Ili uepuke majeraha ya
mwili au kifaa kuharibika, elewa na ufuate lebo zote za usalama.
Muhimu: Lebo zozote za usalama zikichakaa au kuharibika, na
haziwezi kusomeka, agiza lebo za kubadilishia kutoka kwa
muuzaji aliye karibu nawe.
A
B
C
D

Advertisement

Table of Contents
loading

Table of Contents