Download Print this page

Briggs & Stratton 400000 Service Bulletin page 88

Hide thumbs Also See for 400000:

Advertisement

Available languages
  • EN

Available languages

  • ENGLISH, page 1
Ikiwa mwanya kati ya mkono wa thamostati na kizuizi ni 000-.050" (milimita .00-1.27), basi ni sahihi.
Sogeza wenzo wa choki uhakikishe unasogea huru bila kubana. Sahihi iwezekanavyo. Nenda
kwenye hatua 3.
Ikiwa mwanya kati ya mkono wa thamostati na kizuizi umezidi 000-.050" (milimita .00-1.27), sawazisha
mkono wa thamostati kama ifuatavyo:
a. Ukitumia kikunja koleo au kifaa kingine kama hicho, kunja sehemu ya chini ya thamostati kwa
makini (mviringo, Mchoro 2) hadi mkono huo uguse kizuizi cha ufito wa choki (mshale).
b. Angalia kwa macho kwamba mwanya kati ya mkono wa thamostati na kizuizi cha ufito wa
choki ni .000-.050" (milimita .00-1.27).
c. Sogeza wenzo wa choki uhakikishe unasogea huru bila kubana. Sahihi iwezekanavyo.
3. Washa na ungurumishe injini kwa dakika 5, kisha uizime. Baada ya dakika 1, jaribu kuwasha injini tena ili
uhakikishe kwamba hali hiyo imerekebika.
B
.000-.050"
(milimita .00-1.27)
C
Mchoro 1
Mchoro 2
A
Ukurasa wa 2 kati ya 3

Advertisement

loading

This manual is also suitable for:

440000490000