Download Print this page

Briggs & Stratton 400000 Service Bulletin page 87

Hide thumbs Also See for 400000:

Advertisement

Available languages
  • EN

Available languages

  • ENGLISH, page 1
S E R V I C E B U L L E T I N
KWA:
WAUZAJI WA HUDUMA WALIOIDHINISHWA WA
BRIGGS & STRATTON
TANGAZO:
DSB-1044
TAREHE:
OKTOBA 2015
MADA:
UGUMU WA KUWASHA BAADA YA UENDESHAJI
KWA MUDA MFUPI
MODELI:
400000, 440000, 490000 YENYE READYSTART®
NAMBARI TAMBULISHI:
HALI:
Tumepokea ripoti isiyo kamili ya injini kadhaa zenye ugumu wa kuwaka baada ya vipindi vifupi vya uendeshaji vya
takriban dakika 5. Baada ya uchunguzi, tumegundua kwamba mwanya kati ya mkono wa thamostati na kizuizi cha
ufito wa choki ulikuwa nje ya kipimo kilichowekwa. Jambo hili lilizuia vali ya choki kufunguka inavyohitajika kwa
sababu ya joto la injini. Hali haikuonyesha ugumu wowote wa kuwaka kwenye injini baridi au moto.
UKAGUZI / UKARATI:
Hali hii ikitokea, hakikisha injini imepoa (halijoto ya chumba) na utekeleze utaratibu unaofuata:
1. Hakikisha udhibiti wa gavana (A, Mchoro 1) uko katika nafasi ya kuzubaa (kisaa).
2. Angalia kwa macho kama mkono wa thamostati (B) unagusa kizuizi cha ufito wa choki (C). Mwanya sahihi ni
.000-.050" (milimita .00-1.27).
Hakimiliki © Briggs & Stratton Corporation
Utafsiri wa lugha zote wa hati hii
unatoka kwa faili asili ya Kiingireza.
131001xxxxx HADI 150923xxxxx
- HATUA INAHITAJIKA
- IKITOKEA
- TAARIFA PEKE YAKE
- INJINI
- KIFAA
- VYOTE VIWILI
Ukusara wa 1 kati ya 3

Advertisement

loading

This manual is also suitable for:

440000490000