Hide thumbs Also See for Q6500:
Table of Contents

Advertisement

Available languages
  • EN

Available languages

  • ENGLISH, page 1
Vipengele na Vidhibiti Kielelezo
A
Sehemu ya Kushikia
Inayotoka na Kurudi
Swichi ya QPT
B
C
Uwekaji Upya Utumizi
Kupita Kiasi
D
Taa za Utumizi wa
Nishati
E
Kiashiria Oili Chache
F
Stata ya Kurudi Nyuma
G
Kidhibiti cha Choki
H
Swichi ya Injini
J
Plagi za Volti 230 za AC,
Amp 16
K
Mafla ya Kishika Cheche X
L
Tundu la Kujazia Oili/
Kifaa cha Kupima
Kiwango cha Oili
M
Kifuniko cha Tundu la
Kumwaga Oili

Uendeshaji

Hatua ya 1: Eneo Salama
Kabla ya kuwasha jenereta ya kubebeka kuna mambo mawili
muhimu ya usalama kuhusu sumu ya kaboni monoksidi na
moto ambayo ni lazima yashughulikiwe.
Eneo la Kuendeshea ili Kupunguza Hatari ya Sumu ya
Kaboni Monoksidi
ONYO! Eksozi ya injini ina kaboni monoksidi, gesi ya
sumu ambayo inaweza kukuua wewe kwa dakika
chache. Hauwezi kuinusa, kuiona, wala kuionja. Hata
kama huwezi kunusa mafukizo yanayotolewa, bado unaweza
kupumua gesi ya monoksidi ya kaboni.
• Endeshea nje jenereta ya kubebeka, angalau mita 6.1 mbali
na mahali ambapo kuna watu huku eksozi ikiwa imeelekezwa
mbali ili kupunguza hatari ya kupumua kaboni monoksidi.
• Sakinisha ving'ora vya kutambua uwepo wa kaboni
monoksidi vinavyotumia betri pamoja na hifadhi ya betri
kulingana na maagizo ya mtengenezaji. Ving'ora vya moshi
haviwezi kutambua gesi ya kaboni monoksidi.
Chini zaidi mita 6.1
1
N
Sehemu za Kushikia kwa
Mikono
Kisafishaji Hewa
P
Q
Kitambulisho cha injini
R
Kifuniko cha Nyuma
S
Kifuniko cha Kando cha
Udumishaji
T
Lebo ya Utambulisho
U
Kifuniko cha Mafuta
V
Kituo cha USB
W
Kitango Ardhini
Swichi Kuu ya Kukata
Umeme
Y
Plagi ya Volti 230 za AC,
Amp 32
Z
Swichi za Kukata
Umeme (AC)
Zuia Sumu ya Kaboni Monoksidi (CO)
Tumia nje mbali na nyumba yoyote.
Elekeza ekzosi mbali na nyumba na maeneo
yote yenye watu.
Weka ving'ora vya CO ndani ya nyumba yako.
• Usiendeshe jenereta ya kubebeka ndani ya nyumba, gereji,
vyumba vya chini ya ardhi, ubati, vibanda, au majengo
mengine yaliyobanwa hata kama unatumia viyoyozi ama
kufungua milango na madirisha ili hewa safi iingie. Gesi ya
kaboni monoksidi inaweza kukusanyika kwa haraka katika
maeneo haya na inaweza kukwama kwa saa nyingi, hata
baada ya bidhaa hii kuzimwa.
• Kila wakati uelekeze ekzosi ya injini mbali na maeneo yenye
watu.
Ukianza kuhisi mgonjwa, kizunguzungu, mchovu, au ving'ora
vya kaboni monoksidi vikilia wakati unatumia bidhaa hii, nende
mahali penye hewa safi mara moja. Wasiliana na watoa
huduma za dharura. Huenda ukawa umeathiriwa na sumu ya
kaboni monoksidi.
Eneo la Kuendeshea ili Kupunguza Hatari ya Moto
ONYO! Joto/gesi za Eksozi zinaweza kuwasha vitu,
majengo au tangi la mafuta lililoharibika zinazoweza
kushika moto, na kusababisha kifo au majeraha
mabaya.
• Ni lazima jenereta ya kubebeka iwe angalau mita 1.5 mbali
na jengo lolote, vitu vinavyoning'inia, miti, vichaka au mimea
yenye urefu wa zaidi ya sentimita 30.5.
• Usiweke jenereta ya kubebeka chini ya deki au aina
nyingine yoyote ya jengo ambalo litazuia hewa nyingi kupita.
Ving'ora vya moshi ni lazima viwekwe na kudumishwa
ndani ya nyumba kulingana na maagizo/mapendekezo ya
mtengenezaji.
• Ving'ora vya kaboni monoksidi haviwezi kugundua moshi.
• Usiweke jenereta ya kubebeka kwa njia nyingine isipokuwa
ambavyo imeonyeshwa.
Chini zaidi mita 1.5.
Ekzosi
MUFFLER
Chini zaidi mita 1.5.
Chini zaidi mita 6.1.
5

Hide quick links:

Advertisement

Table of Contents
loading

This manual is also suitable for:

030796-00

Table of Contents