Briggs & Stratton Q6500 Manual page 196

Hide thumbs Also See for Q6500:
Table of Contents

Advertisement

Available languages
  • EN

Available languages

  • ENGLISH, page 1
Jedwali la Yaliyomo
Alama za Usalama na Udhibiti. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 4
Maelezo ya Kifaa . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 4
Vipengele na Vidhibiti. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 5
Uendeshaji . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 5
Udumishaji. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 8
Uhifadhi . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 9
Kutatua Matatizo. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 10
Vipimo Maalum . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 10
Maelezo ya Kifaa . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 11
Alama za Usalama na Udhibiti
Alama ya tahadhari ya usalama inaonyesha hatari iliyopo ya
majeraha ya kibinafsi. Alama ya usalama inaweza kutumika
kuwakilisha aina ya hatari. ONYO inaonyesha hatari ambayo,
isipoepukwa, inaweza kusababisha kifo au jeraha mbaya sana.
TAHADHARI inaonyesha hatari ambayo, isipoepukwa, inaweza
kusababisha jeraha dogo au wastani. ILANI inaonyesha
maelezo yanayozingatiwa kuwa muhimu, lakini hayahusiani na
hatari.
Alama ya Tahadhari
Mwongozo wa
ya Usalama
Mshtuko wa
Moto
Umeme
King'ora
Waya Baki Ambao
cha Kaboni
Haijaunganishwa
Monoksidi
na Chochote
Kiwango cha
Oili
Oili
Swichi ya Kukata
Choki
Endesha
Utoshaji
Utoshaji
Maelezo ya Mawasiliano ya Ofisi ya Ulaya
Ukiwa na maswali kuhusiana na mafukizo ya Ulaya, tafadhali
wasiliana na ofisi yetu ya Ulaya kupitia:
Max-Born-Straße 2, 68519 Viernheim, Germany.
4
Moshi
Maagizo
wenye Sumu
Mlipuko
Eneo Moto
Waya wa
Mafuta
Ardhini
Kidhibiti cha
Usiwashe
Injini
Injini
Washa
Umeme
Umeme wa
Umeme wa
AC
DC
Maelezo ya Kifaa
Soma mwongozo huu kwa makini na ufahamu
kuitumia jenereta yako ya nje. Jua matumizi yake,
upungufu wake, na hatari zozote zinazohusika.
Hifadhi maagizo haya asili kwa marejeleo ya siku
zijazo.
Jenereta ya invata ni jenereta inayoendeshwa na mtambo,
ina eneo la kuzungukia, ya umeme wa AC na DC. Jenereta hii
imeundwa kutoa nishati ya umeme ya kutumika kwa taa vifaa,
zana za umeme na mageuzo ya umeme. Eneo la kuzungukia
la jenereta hii linaendeshwa kwa takriban mizunguko 3,600
kwa dakika moja (ikitumia swichi ya kuzima ya QPT® (QUIET
POWER TECHNOLOGY®)) na mashine ya silinda moja.
Ili kuhamisha jenereta, finya kitufe na uvute nje sehemu ya
kushikia. Finya kitufe ili kusukuma ndani sehemu ya kushikia.
Tumia sehemu za kushikia kwa mikono ili kuinua kwa urahisi.
Jenereta ya kubebeka inaweza kutumiwa kuendeshea
vipengee vya umeme vya nje kwa kutumia kebo ndefu au
kurejesha nishati kwenye makazi kwa kutumia swichi ya
ubadilishaji. Swichi ya ubadilishaji ni kifaa tofauti kinachowekwa
na fundi wa umeme aliye na leseni kinachoruhusu jenereta ya
kubebeka kuunganishwa moja kwa moja kwa kutumia kebo
ndefu, kwenye mfumo wako wa umeme nyumbani. Weka
swichi ya ubadilishaji isiyo otomatiki punde iwezekanavyo iwapo
jenereta itatumiwa kurejesha nishati nyumbani.
Kila jitihada imefanywa ili kuhakikisha kwamba maelezo katika
mwongozo huu ni sahihi na ya sasa. Hata hivyo, tunahifadhi
haki ya kubadilisha, kurekebisha, au vinginevyo kuboresha
jenereta na hati hii wakati wowote bila ilani.
ILANI Ikiwa una maswali kuhusu matumizi
yanayokusudiwa, wasiliana na muuzaji huduma
aliyeidhinishwa. Kifaa hiki kimeundwa kutumiwa na sehemu
vilizoidhinishwa vya Briggs & Stratton® PEKEE.
Msingi wa Mfumo
Jenereta hii ina msingi wa mfumo unaounganisha vijenzi
vya fremu ya jenereta kwa nyaya za ardhini kwenye plagi
za kutoa umeme za AC. Waya baki (neutral) ya jenereta
!
haijaunganishwa na chochote (
mtatio wa rota ya AC umetengwa na kitango ardhini cha plagi
ya pini za AC za ardhini. Vifaa vya umeme, kama vile RCD,
vinavyohitaji waya baki (neutral) ya ardhi huenda visifanye kazi
vyema vinapotumia jenereta hii. Kuweka waya ya ardhi (earth)
hakuhitajiki unapotumia jenereta hii.
Mahitaji Maalum
Kunaweza kuwa na kanuni, sheria za ndani, au sheria
Zima
zinazohusu matumizi yaliyokusudiwa jenereta hii. Tafadhali
pata ushauri wa fundi umeme aliyehitimu, mkaguzi wa umeme,
au wakala wa ndani wenye mamlaka.
Jenereta hii haijakusudiwa kutumiwa katika mahali pa ujenzi au
mahali pa shughuli sawia.
Utupaji Taka wa EU
wasiliana na Briggs & Stratton au muuzaji wako wa bidhaa reja
reja wa ndani ili kupata maelezo zaidi kuhusu utupaji.
), ikimaanisha kwamba
Ishara hii inaonyesha kuwa mmiliki wa betri na
vifaa vya kiumeme au kielektroniki hapaswi
kutupa bidhaa hii na taka taka ambazo
hazijachambuliwa za manispaa. Bidhaa hii
inapaswa kutupwa kwenye maeneo
yanayofaa ili kulinda mazingira. Tafadhali
BRIGGSandSTRATTON.COM

Hide quick links:

Advertisement

Table of Contents
loading

This manual is also suitable for:

030796-00

Table of Contents