Briggs & Stratton 020619-00 Manual page 182

Table of Contents

Advertisement

Available languages
  • EN

Available languages

  • ENGLISH, page 1
6. Bonyeza switchi kuu ya Kuwasha/Kuzima Wa upande
wa kuwasha (I) .
7. Elekeza bunduki Wa upande salama, Bonyeza kidude
cha kufunga na ufinye triga.
Mashine itaanza na kuacha bunduki ya kufukiza
inapofinywa na kuachiliwa.
Nozeli ya 7-Wa-1
Umbo
Nozeli ya 7-Wa-1 huruhusu kuswitchi Wa namna saba tofauti
za kufukiza. Wachilia triga Wa bunduki ya kufukiza kushirikisha
kufuli ya salama kabla ya kubadilisha jinsi ya kufukiza.
1.
Chagua namna unayopendelea ya kufukiza:
Chagua nozeli ya juu kabisa 0°(A) madoadoa
sugu kufika Wa safu kama ya sakafu, kutoa rangi,
madoadoa ya mafuta, utoaji wa kutu na madoadoa
mengine sugu (lami,gundi, grizi,nta, na kadhalika).
Chagua nozeli ya jumla ya 15°(B) Wa kuosha
madoadoa sugu, ama kazi ngumu ya kuosha. Bora
ya utoaji wa grizi ama uchafu Wa sehemu ngumu. Pia
yaweza kutoa rangi ianposhiWa Wa pembe ya 45°.
Chagua nozeli ya upole ya 40° (C) Wa kuosha Wa
juu-juu Wa magari, tinga, mashua, RV's, samani ya
patio, vifaa vya kutumiwa kukata nyasi, na kadhalika.
Chagua kufukiza Wa pepeo na sabuni nozeli (D)
Wa mojawapo ya kusuuza uchafu mwepesi ama
vifusi vya uchafu.
Chagua kifukuzi cha pepea na nozeli ya sabuni (F)
Wa sehemu zilizo tete, kama kuosha magari, lori,
vifaa vya watoto vya kuchezea, samani ya patio,
na kadhalika.
Chagua nozeli iliyoenezwa kufika mbali na inatoa
sabuni (G) Wa kuosha Wa mtiririko wa haraka na
maji kufika mbali, kama kuosha dirisha za ghorofa
ama milango ya kutereza.
Chagua nozeli ya sabuni iliyoenezwa (H) kufikisha
sabuni Wa ghorofa ya pili Wa dirisha na milango
ya kutereza.
2. Zungusha kidude hadi ule mfumo unaotaka
unaambatana na mshale Wa nozeli ya 7-Wa-1.
Jinsi ya matumizi
• Wa mwosho mwafaka, weka nozeli kutoka
20 hadi 61 cm (8 hadi 24 in.) mbali na sehemu
unayoosha.
• Ukipata nozeli karibu sana, hasa ukitumia nozeli ya
presha ya juu, unaweza haribu sehemu inayooshwa.
• USI karibie kupita centimita 15 (6 in.) unapoosha tairi
6
6
12
Kupaka sabuni
Umbo
ONYO! Kemikali zaweza sababisha kuchomeka
na kuishia Wa kifo ama majeraha kali. Usitumie
oevu ya soda na mashine ya kuosha Wa presha.
Tumia sabuni salama ya mashine ya kuosha Wa presha
PEKEE. Fuata mmagizo ya watengenezaji wa bidhaa.
Kupaka sabuni, fuata hatua hizi:
1. Toa kifuniko cha tanki ya sabuni (D) na ujaze na
mchanganyiko wa maji na sabuni. Rudisha kifuniko.
2. Hakikisha nozeli ya fukiza mfumo imechaguliwa ni 7-Wa-1.
ILANI Sabuni haiwezi paWa na nozeli ya presha ya juu
(kijumla, tete, Fukiza ya pepea ama iliyoenezwa ili kufika mbali).
3. Paka sabuni Wa sehemu iliyokauka, kuanzia Wa
sehemu ya chini inayooshwa na kufanya kazi Wenda
juu, ukitumia stroki refu na sawia.
4. Itikisha sabuni ichanganyike na maji vizuri, ukifuata
maagizo ya watengenazaji wa bidhaa kable ya kuosha
na kukamua
Kusuuza Wa mashine ya kuosha ya presha
1. Chagua nozeli unayopendelea ya presha ya juu.
ONYO! Kurusha nyuma Wa bunduki ya kufuruza.
Yaweza kusababisha kifo ama majeraha makali.
Tumia mashine ya presha ya kuosha mahali imara
Kuwa mwangalifu zaidi kama ni lazima utumie mashine ya
presha ya kuosha kutoka Wa ngazi, juWaa ama eneo kama
hilo. Shika bunduki ya kufukiza Wa nguvu Wa mikono yote
miwili wakati unatumia presha ya juu kufukiza, ili kuepuka
jeraha itokewapo bunduki ya kufukiza irushe nyuma.
2. Tumia presha ya juu kufukiza mahali ndogo na
uangalie kama inaharibu hio mahali. Kama hakuna
uharibifu, endelea kusuuza.
3. Anza kutoka sehemu ya juu ya kusuuzwa, ukifanya
kazi kuendelea chini ukipishana miosho kama
ulivyofanya ukiosha.
Kuachisha mashine ya kuosha ya presha
1. Wachilia kidude cha bunduki ya kufukiza
2. Bonyeza switchi kuu ya kuwasha/kuzima (E) upande
wa kuzima (0).
ILANI Kuachilia kidude huzima mashine lakini haizimi
umeme Wa kila sehemu.
3. Zima mfereji unaoleta maji.
4. Daima elekeza bunduki ya kufukiza Wa upande
salama, bonyeza kidude cha kufunga, na ufinye
kidude kuachilia presha kutoka Wa sehemu.
ONYO! Mtiririko wa juu wa maji kutoka Wa hiki
kifaa unaweza kata na kupita ngozi na tishu zilizo
chini ya ngozi, na kusababisha majeraha makali na
kuleta kilema. Weka pipu ya presha kali kama
imeunganishwa na pampu na bunduki ya kufukiza wakati
mtambo umejaa presha. USIITIKISHE WATOTO kucheza
na ama kutumia mashine ya kuosha Wa presha. DAIMA
elekeza bunduki ya kufukiza Wa upande salama, finya
kidude cha bunduki ya kufukiza kuwachilia presha ya juu,
kila wakati unapozima mashine ya kuosha Wa presha.
5. Wachisha plagi ya PRCD ya kukatiza umeme (G)
kutoka Wa sehemu ya kutokea na uzungushe waya
Wa sehemu ya chini ya kibao cha vipengele.
3
Umbo
BRIGGSandSTRATTON.COM
BRIGGSandSTRATTON.COM
3

Advertisement

Table of Contents
loading

This manual is also suitable for:

020671-00

Table of Contents