Snapper SPX-100 Operator's Manual page 115

Table of Contents

Advertisement

Available languages
  • EN

Available languages

  • ENGLISH, page 1
Uwekaji
ONYO
Kamwe usiweke kifaa hicho (na mafuta) katika
jengo lililojifunga lenye upepo dhaifu. Mivuke
ya mafuta inaweza kusafiri hadi kwenye chanzo
cha mwako (kama vile tanuu, hita ya maji, n.k) na
kusababisha mlipuko. Mvuke wa mafuta pia ni sumu kwa
binadamu na wanyama.
Wakati wa Kuhifadhi Mafuta au Kifaa na Mafuta katika
Tanki
• Hifadhi mbali na tanuu, stova, hita za kuchemshia maji,
au vitu vingine ambavyo vina taa za moto au vyanzo
vya mwako kwa sababu vinaweza kuwasha mivuke ya
mafuta.
Vifaa
Toa PTO, weka breki ya kuegesha, na uondoe kifunguo cha
kuwasha.
Weka betri mahali baridi, pakavu na uliweke likiwa na chaji
wakati. Ikiwa betri imeachwa katika kifaa, tengenisha kebo
ya hasi.
Mfumo wa Mafuta
Mafuta yanaweza kuchacha ikiwa yatawekwa kwa zaidi
ya siku 30. Mafuta yaliyochacha husababisha asidi na
mabaki ya gundi kutokea katika mfumo wa mafuta au viungo
muhimu vya kabureta. Ili uweke mafuta yakiwa sawa, tumia
Fomyula Bora ya Dawa & Kisawazisha Mafuta ya Briggs
& Stratton®, inayopatikana mahali popote vipuri halisi vya
ukarabati vinauzwa.
Hakuna haja ya kukausha petroli katika injini ikiwa
kisawazisha mafuta kimeongezwa kulingana na maelekezo.
Washa injini kwa dakika 2 kuzungusha kisawashi katika
mfumo wote wa mafuta kabla ya kukiweka.
Oili ya Injini
Wakati injini bado inaendelea kuwa moto, badilisha oili ya
injini. Angalia fungu la Kubadilisha Oili ya injini.
Kabla ya kuwasha kifaa baada ya kuwa kimehifadhiwa:
• Kagua viwango vyote vya ugiligili. Kagua vipengele vyote
vya ukarabati.
• Fanya ukaguzi na taratibu zote zinazopendekezwa
zinazopatikana katika mwongozo huu.
• Wacha injini ipate moto kwa dakika kadhaa kabla ya
kutumia.
sw
15

Hide quick links:

Advertisement

Table of Contents
loading

Table of Contents