Snapper 2691382-00 Operator's Manual page 118

Table of Contents

Advertisement

Available languages
  • EN

Available languages

  • ENGLISH, page 1
Ainisho za Bidhaa
Ukubwa wa Deki (in / cm)
Urefu wa Kukata (in / cm)
Aina ya Ubadilishaji Gia
Kasi - Kuneda Mbele (mph / kph)
Kasi - Kurudi Mbele (mph / kph)
Ukubwa wa Injini (cc)
Pendo la Plagi (in / mm)
Msongonyo wa Plagi (lb-in / Nm)
Kiwango cha Oili - na kichujio (oz / l)
Ukubwa wa Tangi la Mafuta (qt / l)
Makadirio ya Nguvu: Makadirio ya jumla ya nguvu kwa miundi ya kipekee ya injini za petroli yametambulishwa kwa
mujibu wa msimbo wa SAE (Jamii ya Wahandisi wa Motokaa) J1940 Nguvu ya Injini Ndogo na Utaratibu wa Makadirio
ya Msongonyo, na hukadiriwa kulingana na SAE J1995. Viwango vya msongonyo hupatikana katika 2600 RPM kwa
injini ambazo zina "rpm" zilizotajwa kwenye lebo na 3060 RPM kwa ajili ya ziingine zote; viwango vya nguvu ya farasi
hupatikana katika 3600 RPM. Mizingo ya nguvu ya jumla inaweza kutazamwa katika www.BRIGGSandSTRATTON.COM.
Viwango halisi vya nguvu huchukuliwa pamoja na ekzosi na kisafisha hewa kilichowekwa ambapo viwango vya jumla
vya nguvu hukusanywa bila ya viambatanishi hivi. Nishati ya jumla iliyopo ya injini itakuwa juu kuliko nguvu halisi ya injini
na inaathiriwa na, baadhi ya vitu vingine, hali za kawaida za mazingira ya uendeshaji na utofauti kutoka injini moja hadi
nyingine. Kulingana na mpangilio mpana wa bidhaa ambapo injini zimepangwa, injini ya petroli huenda isitoe nguvu ya
jumla iliyokadiriwa inapotumiwa katika kifaa fulani cha nguvu. Tofauti hizi ni kutokana na vigezo mbalimbali ikiwa ni pamoja
na, lakini bila ya kikomo, tofauti ya vijenzi vya injini (kisafisha hewa, ekzosi, kuchaji, kupoza, kabureta, pampu ya mafuta,
n.k), vizuizi vya matumizi, hali za kawaida za mazingira ya uendeshaji, (halijoto, unyevu, mwinuko), na utofauti kutoka
injini moja hadi nyingine. Kulingana na vikomo vya utengenezaji na uwezo, Briggs & Stratton inaweza kubadilisha injini ya
nishati ya kiwango cha juu zaidi kwa injini hii.
30
2691382-00
28 / 71
1.5 - 4.0 / 3,8 - 10,2
Uendeshaji wa diski wenye kasi tofauti Uendeshaji wa diski wenye kasi tofauti
0.85 - 3.85 / 1,4 - 6,2
0 - 1.6 / 0 - 2,6
344
0.030 / 0.76
180 / 20
46 - 48 / 1,36 - 1,40
5 / 4,7
2691383-00
33 / 84
1.5 - 4.0 / 3,8 - 10,2
0.85 - 3.85 / 1,4 - 6,2
0 - 1.6 / 0 - 2,6
500
0.030 / 0.76
180 / 20
46 - 48 / 1,36 - 1,40
5 / 4,7
www.snapper.com

Hide quick links:

Advertisement

Table of Contents
loading

This manual is also suitable for:

2691383-00

Table of Contents