Snapper 2691382-00 Operator's Manual page 112

Table of Contents

Advertisement

Available languages
  • EN

Available languages

  • ENGLISH, page 1
7. Sogeza mkono wa kuinua
kama inavyohitajika hadi ncha za bapa we ndani ya
1/8" na ile nyingine
8. Kaza maunzi yaliyofunguliwa katika Hatua ya 6. Kagua
tena maeneo yote ya deki kwa usawazishaji sahihi.
9. Rekebisha chegemo za nyororo ya nyuma
ili ulainishe mashimo katika mabano ya usaidizi
34)
10. Ondoa chuma, bomba, au kitu chochote kama hicho,
na uendelee kukagua usawazishaji wa mbele hadi
nyuma.
Urekebishaji wa Deki ya Mashine ya Kukatia
Nyasi (Uwasazishaji kutoka Mbele hadi
Nyuma)
Kiendeshaji cha Injini ya Nyuma kikiwa eneo tambarare,
zungusha ubapa hadi ncha za ubapa ziwe upande wa
mbele na nyuma mwa deki. Pima umbali kutoka kwa ncha
za bapa hadi kwenye sakafu
unafaa uwe sawa, au nyuma iwe 1/8" hadi 1/4" kidogo
kuliko mbele. Ikiwa ncha ya nyuma ya ubapa iko juu kuliko
ya mbele, au ni zaidi ya 1/4" chini kuliko ya mbele, endelea
na usawazishaji.
1. Ondoa minyororo ya nyuma
2. Zungusha kila chegemo
kwenye bolti ya jicho ili uinue au upunguze deki ya
nyuma.
3. Rejesha minyororo ya nyuma na upime tena ncha za
bapa.
4. Rudia Hatua 1 hadi 3 hadi upate usawazishaji unaofaa.
Vijenzi vya Kifaa cha Kiendeshaji cha Injini
ya Nyuma
!
USIJARIBU kusawazisha, kukarabati, au kutengeneza wakati
injini inaguruma. ZIMA injini. SIMAMISHA bapa. Weka breki
ya kuegesha. Ondoa ufunguo. Ondoa waya ya plagi kutoka
kwenye plagi na uifungilie mbali na plagi. Injini na vipengele
vyake huwa MOTO. Epuka kuchomeka vibaya, wacha sehemu
zote zipoe kabla ya kushughulikia mashine. Lazima Kifuniko
cha Kuweka Mafuta na tundu zifungwe vizuri ili kuzuia mafuta
kumwagika.
Kurekebisha Breki / Breki ya Kuegesha
Jaribu breki ya magurudumu kwenye eneo kavu. Wakati
imerekebishwa vizuri, Kiendeshaji cha Injini ya Nyuma kitakoma
ndani ya futi 5 kutoka kasi ya juu zaidi. Ikiwa umbali wa
kusimama ni zaidi ya futi 5 breki ya magurudumu inastahili
kurekebishwa kama ifuatavyo:
1. Fuata taarifa ya ONYO inayopatikana kwenye ukurasa huu.
2. Kagua kiwango cha mafuta kwenye tangi. Ikiwa
kimejaa 3/4, ondoa tangi. Rejelea "Kuondoa tangi
la Mafuta". Ikiwa kiko 3/4 au chini, endelea na hatua
inayofuata.
3. Kwa makini simamisha Kiendeshaji Injini ya Nyuma
kwenye bampa yake ya nyuma.
24
juu au chini
(C, Picha ya 33)
(B, Picha ya
. Umbali huo
(Picha ya 34)
.
(A, Picha ya 34)
mara sawa
(B, Picha 34)
ONYO
4. Kanyaga padeli ya klachi/breki
hadi chini. Sogeza na ushikiliie Wenzo wa breki
ya kuegesha
na uachilie pedali ya klachi/breki ili uweke breki ya
kuegesha.
5. Bima umbali
.
ya klachi/breki
(D)
kinastahili kuwa chjini ya 1/2" na kisidizishe 3/4"
KUMBUKA: Pini ya kota, springi ya breki, na nira ya klachi(D, E,
na F, Picha ya 33) zimedokezwa kwa ajili ya marejeleo tu.
6. Ikiwa kipimo ni chini ya 1/2" au zaidi ya 3/4", fungua
nati mbili
(A, Picha ya 36)
kwa kikasha cha nyororo.
(B)
7. Rekebisha kebo juu au chini kwa kutumia nati ili upate imbeli
wa 1/2" hadi 3/4" kati ya mwisho wa kebo ya klachi/breki
(urekebishaji umeonyeshwa katika Picha ya 37) na chini ya
kikasha.
8. Baada ya urekebishaji kukamilika, funga kebo kabisa na nati.
9. Jaribu tena breki za magurudumu.
Kubadilisha Bapa za Mashine ya Kukatia
Nyasi
!
Vaa glavu nzito unaposhughulikia au kufanya kazi karibu na
bapa za kukatia nyasi. Bapa huwa kali sana na zinaweza
kusababisha jeraha mbaya. USITUMIE ubapa wa kukatia nyasi
unaoonyesha dalili za uchakaaji au uharibikaji wa kupindukia.
Vikomo vya Kuchakaa kwa Bapa
1. Kagua ubapa mara kwa mara kwa dalili za uchakavu
au uharibikaji wa kupindukia
Ubapa mpya;
(A)
Kiwango cha uchakaaji (mwanya unaanza);
(B)
!
Hali hatari - usitumie kwenye mashine ya kukatia
(C)
nyasi! Badilisha na ubapa mpya.
Kunoa Ubapa
1. Fuata taarifa za ONYO zinazopatikana kwenye ukurasa huu.
2. Kagua kiwango cha mafuta kwenye tangi. Ikiwa
kimejaa 3/4, ondoa tangi. Rejelea "Kuondoa Tangi
la Mafuta". Ikiwa kiko 3/4 au chini, endelea na hatua
inayofuata.
3. Kwa makini simamisha Kiendeshaji Injini ya Nyuma
kwenye bampa yake ya nyuma.
4. Ondoa bolti
inayofunga ubapa wa mashine ya kukatia nyasio
kwenye. kizungushaji
5. Kagua hali ya ubapa
6. Ikiwa bapal iko katika hali nzuri, linoe kwa digrii 22 hadi
28
(B, Picha ya 39)
kukatia
.
(A)
7. Kagua ubapa baada ya kunoa. Ikihitajika, sahihisha
usawa wa ubapa kwa kusaga upande mpana wa bapa.
8. Kuweka ubapa tena. Funga bolti za kuweka ubapa kwa
masafa yanayopendekezwa ya 30 hadi 40 ft. lbs.
(A, Picha ya 9)
katika mkao wa "IMEWASHWA"
(B)
kati ya mwisho wa kebo
(A, Picha ya 35)
na chini ya kasha
(B)
(C)
. Shikilia kebo ya klachi/breki
ONYO
(Picha ya 37)
, washeli
(B, Picha ya 38)
.
(Picha ya 37)
. USINOE zaidi ya ukingo ulioko wa
www.snapper.com
. Kipimo
!
:
na nati
(C)
(D)
(A)

Hide quick links:

Advertisement

Table of Contents
loading

This manual is also suitable for:

2691383-00

Table of Contents