Snapper 2691382-00 Operator's Manual page 115

Table of Contents

Advertisement

Available languages
  • EN

Available languages

  • ENGLISH, page 1
TATIZO
SABABU YA KUAMINIKA
Kiendeshaji
1. Diski ya uendeshaji imechakaa au imeharibika.
Hakisongi au
2. Diski ya uendeshaji ya mpira haisongi vizuri kwenye diski
Hakuna Mwendo.
ya undeshaji.
3. Bolti ya ekseli imeharibika na nati inakosekana.
4. Gololi ya ekseli imekwama.
5. Ulainishaji hautoshi katika kikasha cha nyororor au gia/
difrensha
Bapa Hazikati.
1. Wenzo wa kudhibiti ubapa uko upande wa "ZIMA".
2. Mkanda wa mashine ya kukata nyasi unateleza.
3. Bapa za kukata hazijanolewa, zimechakaa au kuharibika. 3. Noa au badilisha ubapa wa kukata.
Haikati Nyasi
1. Hewa tofauti ya tairi.
Vizuri.
2. Urefu wa kukata nyasi uko juu au chini sana.
3. Kasi ya injini niko chini sana.
4. Kasi ya kuenda mbele iko juu sana.
5. Kukata nyasi mahali palipoinuka, upande mmoja hadi
mwingine.
6. Kuinuka sana kwa deki, kutoka mbele hadi nyuma.
7. Bapa za kukata hazijanolewa au kuharibika.
8. Mkanda wa mashine ya kukata nyasi unateleza.
Utoaji Mbaya wa
1. Kasi ya injini niko chini sana.
Nyasi.
2. Kasi ya kuenda mbele iko juu sana.
3. Nyasi ina maji.
4. Bapa zilizochakaa au kuharibika kabisa
5. Mkusanyiko wa vipande vya naysi na vifuzi chini ya deki.
6. Ubapa usiofaa umefungwa kwenye deki.
Oili Kuvuja.
1. Kikasha cha nyororo au plagi za difrensha zinavuja.
2. Upande wa injini unavuja
HATUA YA UTATUZI
1. Badilisha diski ya uendeshaji.
2. Rekebisha diski ya uendeshaji ya mpira.
3. Wasiliana na muuzaji aliyeidhinishwa.
4. Wasiliana na muuzaji aliyeidhinishwa.
5. Wasiliana na muuzaji aliyeidhinishwa.
1. Sogeza Wenzo upande wa "WASHA".
2. Rekebisha au badilisha mkanda wa kukata nyasi. Wasiliana na
muuzaji aliyeidhinishwa.
1. Weka hewa inayofaa. 15 PSI (1,03 bar) tairi za mbele 12 PSI (0,83
bar) tairi za nyuma.
2. Sawazisha urefu wa kukata nyasi.
3. Sogeza kidhibiti cha kasi ya injini upande wa HARAKA.
4. Sogeza Wenzo wa kubadilisha gia kuwa kasi ya chini.
5. Urekebishaji usawazishaji kutoka upande mmoja hadi mwingine.
6. Rekebisha usawazishaji kutoka mbele hadi nyuma.
7. Noa bapa au badilisha bapa
8. Rekebisha au badilisha uzito wa mkanda wa kukata nyasi.
Wasiliana na muuzaji aliyeidhinishwa.
1. Sogeza kidhibiti cha kasi ya injini upande wa HARAKA.
2. Sogeza Wenzo wa kubadilisha gia kuwa kasi ya chini.
3. Kata nyasi wakati imekauka.
4. Karabati bapa za mashine ya kukatia nyasi.
5. Safisha chini ya deki.
6. Funga bapa zinazofaa.
1. Thibitisha plagi hazijapasuka na ziko katika hali nzuri. Kagua
gasketi.
2. Wasiliana na muuzaji aliyeidhinishwa.
27
sw

Hide quick links:

Advertisement

Table of Contents
loading

This manual is also suitable for:

2691383-00

Table of Contents