Snapper SPX-100 Operator's Manual page 114

Table of Contents

Advertisement

Available languages
  • EN

Available languages

  • ENGLISH, page 1
Kukarabati Kichujio cha Hewa
ONYO
Mafuta na mvuke wake yanaweza kuwaka moto
haraka sana na kulipuka.
Moto au mlipuko unaweza kusababisha majeraha
mabaya ya moto au kifo.
• Usiwahi kuwasha au kuendesha injini na kijenzi
cha kisafisha hewa au kichujio cha hewa kikiwa
kimeondolewa.
ILANI: Usipulize hewa ua kitu chochote cha majimaji ili
uoshe kichujio. Kupuliza hewa kunaweza kuharibu kichujio
na kito chochote cha maji maji kinaweza kuvunja kichujio.
1 Ondoa vishikizo (A, Mchoro 12) na kifuniko cha kichujio
cha hewa (B).
2 Ili uondoe kichujio (C), inua mwisho wa kichujio na kisha
uvurute kichujio nje ya kiingilio (D).
3 Kulegeza vifusi, gongesha kichujio polepole kwenye
eneo gumu. Ikiwa kichujio ni kichafu zaidi, kibadilishe na
kichujio kipya.
4 Osha kisafishaji cha kabla katika sabuni ya maji na maji.
Kisha kiwache kikauke kabisa kwenye hewa. Usipake oili
kwenye kisafishaji cha kabla.
5 Funga kisafisha cha kabla kwenye kichujio.
6 Funga kichujio kwenye sehemu yake. Sukuma
mwisho wa kichujio katika sehemu ya chini kama
inavyoonyeshwa. Hakikisha kichujio kimeingia vizuri
katika sehemu ya chini.
7 Funga kifuniko cha kichujio na ufunge vishikizo.
Kagua Mwanya wa Plagi ya Spaki
Tumia geji ya kupimia mianya ya plagi ya spaki ili ukague
mwanya kati ya elektrodi mbili. Wakati mwanya huo uko
sawa, geji hiyo itajikokota kiasi unapoivuruta kutoka kwa
mwanya huo (angalia Mchoro 13).
Ikihitajika, tumia geji ya plagi za spaki kurekebisha mwanya
kwa kukunja elektrodi zilizokunjwa kiasi bila kugusa katikati
mwa elektrodi au kauri.
Funga Plagi ya Spaki
Kaza kwa vidole, kisha kaza ukitumia spana (angalia
Mchoro 14).
• 180 in-lbs (20 Nm), AU
• Mzunguko 1/2 wakati unafunga plagi za spaki za kwanza
tena.
Mzunguko 1/4 wakati unafunga plagi mpya za spaki.
14
Kukarabati Kizuia Kelele
ONYO
Kuendesha injini hutoa joto. Sehemu za injini,
hasa kizuia kelele, huwa moto sana.
Unaweza kuchomeka unapokigusa.
Vifusi vinavyoweza kushika moto, kama vile
majani, nyasi, brashi, nk. vinaweza kuwaka moto.
• ruhusu kizuia kelele, silinda ya injini na mapezi yapoe
kabla ya kuyagusa.
• Ondoa vifuzi vinavyoonekana kutoka kwa kichumba
cha injini.
ONYO
Lazima sehemu za kubadilishwa ziwe sehemu moja na
sehemu za kwanza au moto unaweza kutokea.
Ili kutenegneza kizuia kelele, tembelea muuzaji
aliyeidhinishwa.
Kukarabati Plagi za Spaki
ONYO
Cheche zinazotokea kwa bahati mbaya zinaweza
kusababisha moto au mrusho wa stima.
Uanzaji usiokusudiwa unaweza kusababisha
tatizo, kukatwa kiungo kwa kiwewe, au
ukwaruzaji.
Wakati unajaribu cheche:
• Tumia kifaa cha kujaribu plagi za spaki kilichoidhinishwa.
• Usikague spaki wakati plagi ya spaki imeondolewa.
TAHADHARI: Plagi za spaki zina masafa tofauti ya moto.
Ni muhimu plagi sawa ya spaki kutumiwa, la sivyo, injini
inaweza kuharibika.
Safisha Plagi ya Spaki
Safisha ukitumia brashi ya waya na kisu kigumu. USITUMIE
vikwaruzo (D, Mchoro 5).

Hide quick links:

Advertisement

Table of Contents
loading

Table of Contents