Uendeshaji - Snapper SPX-100 Operator's Manual

Table of Contents

Advertisement

Available languages
  • EN

Available languages

  • ENGLISH, page 1

Uendeshaji

Usalama wa Jumla wa Uendeshaji
Hakikisha umesoma taarifa yote katika fungu la Usalama
wa Mwendeshaji kabla ya kubaribu kuendesha kifaa hiki.
Jifahamishe udhibiti wote na jinsi ya kusimamisha kifaa.
ONYO
Ikiwa kifaa hakifaulu kipimo cha usalama, usikiendeshe.
Onana na muuzaji aliyeidhinishwa.
Vipimo vya Mfumo wa Usalama wa Intaloki
Kifaa hiki kimetayarishwa na Mfumo wa Usalama wa
Intaloki. Usijaribu kupita pembeni au kugongagonga
switchi/vifaa.
Kipimo 1 — Injini HAIPASWI kuzunguka ikiwa:
• Swichi ya PTO IMEWASHWA, IMEZIMWA
• Pedali ya rake haijakanyagwa kabisa (breki ya kuegesha
IMEZIMWA).
Kipimo 2 — Injini INAPASWA kuzunguka na kuwaka
ikiwa:
• Mwendeshaji ameketi katika kiti, NA
• Swichi ya PTO IMEZIMWA, NA
• Pedali ya breki imekanyagwa kabisa (breki ya kuegesha
IMEWASHWA).
Kipimo 3 — Injini inapaswa KUZIMA ikiwa:
• Mwendeshaji atanyanyuka juu ya kiti.
Kipimo 4 — Angalia Muda wa Kisimama ya Ubapa wa
Kukatia Nyasi
Bapa za mashine ya kukatia nyasi na ukanda wa
kuendesha kifaa hicho unafaa suimame kabisa ndani ya
sekunde tano baada ya swichi ya PTO ya kielektroniki
IMEZIMWA. Ikiwa ukanda wa kuendesha mashine
ya kukatia nyasi hausimami ndani ya sekunde tano,
mtembelee muuzaji aliyeidhinishwa.
Kipimo 5 — Angalia Chaguo la Kukata Nyasi Ukirudi
Nyuma (RMO)
• Injini inafaa kuzima ikiwa utajaribu kuendesha nyuma
wakati PTO imewashwa na RMO haijawashwa.
• Taa ya RMO inafaa inagazie wakati RMO imewashwa.
ONYO
Ukataji nyasi ukirudi nyuma unaweza kuwa hatari kwa
watazamaji. Ajali za kuhuzunisha zinaweza kutokea
ikiwa mwendeshaji hatahadhari kuwepo kwa watoto.
Usiwahi kuwasha RMO karibu na watoto. Watoto mara
nyingi huvutiwa ka kifaa hicho na shughuli ya kukata
nyasi.
8
Kagua Upepo wa Matairi
Matairi yanapaswa kukaguliwa mara kwa mara ili kutoa
nguvu bora ya kukamata ardhi na kudhamini ukataji bora
(tazama Umbo 3).
KUMBUKA: Ajazaji upepo huu unaweza kutofautiana
kidogo na "Kuvimba kwa Juu zaidi" kunakodhuhirika katika
kuta za upande wa matairi.
Mapendekezo ya Oili
Tunapendekeza utumie oili Zilizothibitishwa zenye
Dhamana za Briggs & Stratton kwa utendaji bora. Oili
zingine za hali ya juu za sabuni zinakubaliwa ikiwa
zimeainishwa kwa huduma SF, SG, SH, SJ au zaidi.
Usitumie viongezi spesheli.
Halijoto ya nje huathiri mnato unaofaa wa oili kwa injini.
Tumia chati kuchagua mnato bora kwa masafa ya halijoto
ya nje inayotarajiwa.
*
Chini ya 40°F (4°C) matumizi ya SAE 30 yatasababisha uwashaji wa
shida.
**
Zaidi ya 80°F (27°C) matumizi ya 10W-30 huenda yakasababisha
matumizi zaidi ya oili. Angalia kiwango cha oili mara kwa mara.

Hide quick links:

Advertisement

Table of Contents
loading

Table of Contents