Briggs & Stratton P3000 Manual page 208

Hide thumbs Also See for P3000:
Table of Contents

Advertisement

Available languages
  • EN

Available languages

  • ENGLISH, page 1
Ukarabati
Ratiba Ya Ukarabati
Fuata kila saa au vipinda vya kalenda, kwa namna
yoyote itakayotokea ya kwanza. Huduma ya mara kwa
mara inahitajika wakati inatumika katika mazingira
magumu.
Kwa kila masaa manane ama kila siku
• Safisha uchafu
• Kagua kiwango cha mafuta injini
Masaa 10 Ya Kwanza
• Badilisha mafuta ya injini
Kila Masaa Hamsini
• Karabati kisafisha hewa na kifumbu cha kupumua
• Badilisha oili ya mtambo
Kila Masaa Mia Moja
• Safisha kichujio cha mafuta
• Hudumia Spaki Plagi
• Kagua kishika cheche
Kila Masaa Mia Mbili Hamsini ama Kila Mwaka
• Kagua pengo la wari
1 Hudumia mara nyingi zaidi katika hali chafu au iliyo na vumbi.
Mapendekezo Kwa Ujumla
Ukarabati wa mara kwa mara utaboresha utenda kazi
na kuongezea maisha ya jenereta nyepesi. Angalia
muuzaji yeyote wa Briggs & Stratton kwa ajili ya huduma.
Usakinishaji na kazi kubwa ya ukarabati sharti zifanywe
na watu waliohitimu.
Udhamini wa jenereta hausimamii vifaa vilitomiwa vibaya
na opareta ama kuzembewa. Ili kupokea thamani kamili
ya udhamini, opareta lazima aidhibiti jenereta jinsi
alivyoelekezwa kwenye mwongozo huu.
ONYO! Ili kuhakikisha usalama wa mashine, tumia
vipuri asili tu kutoka kwa watengenezaji au
vilivyothibitishwa na watengenezaji. Kama una maswali
kuhusu kubadilisha vipuri katika mtambo tafadhali
wasiliana nasi katika tovuti yetu
BRIGGSandSTRATTON.COM.
8
1
Kuosha Kichujio cha MafutaMchoro
Kichujio mafuta husaidia kuzuia uchafu kuingia katika
mfumo wa mafuta.
1. Hakikisha jenereta imewekwa juu ya sakafu
batobato.
2. Ondoa kifuniko cha mafuta (A) na kichujio (B).
3. Osha kichujio katika sabuni ya maji na maji.
4. Pangusa kichujio kwa kitambaa kisafi na kikavu.
5. Kwa taratibu rudisha kichujio na kifuniko cha mafuta.
Ukarabati wa Mtambo
Kubadilisha Oili ya Mtambo Mchoro
TAHADHARI Epuka mgusano wa ngozi na oili ya
mtambo iliyotumika kwa mda mrefu. Mafuta ya gari
iliyotumika imeonekana kusababisha saratani ya ngozi
katika baadhi ya wanyama wa maabara. Safisha kwa kina
1
maeneo yaliyo na jeraha au wazi kwa sabuni na maji.
WEKA MBALI KUTOKA KWA WATOTO.
USICHAFUE. LINDA RASILIMALI. RUDISHA
MAFUTA YALIYOTUMIKA KWA VITUO VYA
KUKUSANYA.
Badilisha mafuta wakati injini inaendesha, kama
ifuatavyo:
1. Hakikisha jenereta imewekwa juu ya sakafu
batobato.
2. Legeza skrubu za kifuniko cha ukarabati cha
upande na kutoa kifuniko.
3. Safisha sehemu ya kijazio cha oili na kuondoa
kifuniko cha kijazio cha oili.
4. Geuza jenereta yako ili umwage mafuta kutoka kwa
kontena ya mafuta na ujaze chombo kinachofaa
na uhakikishe umeielekeza kwa shimo ya kujazia
mafuta. Wakati kifuniko ya crankshaft iko tupu,
simamisha jenereta kwa nafasi wima.
5. Ukitumia mpare, mwaga oili polepole (kiasi cha 0.6 l
(20 oz.)) ndani ya kijaza oili kiasi cha kufurika kwenye
kifuniko cha kijazia oili. USIJAZE kupita kiasi.
6. Rudisha kifuniko. Kaza kifuniko kabisa kwa vidole.
7. Pangusa oili iliyomwagika.
8. Rudisha kifuniko cha kukarabati na kukaza skrubu
kwa mkono.
Karabati Kisafisha Hewa Mchoro
Injini yako haitafanya kazi barabara na inaweza haribika
iwapo utaiendesha na kisafisha hewa kichafu.
1. Legeza skrubu za kifuniko cha ukarabati na kutoa
kifuniko.
2. Legeza skrubu ya kifuniko cha kisafisha hewa (A)
halafu toa kifuniko cha kisafisha hewa (B).
3. Kwa taratibu toa kisafisha hewa cha mpira pofu
kwa (C) na kifumbu cha kupumua (D) kwa kukivuta
kukwelekea.
4. Safisha kisafisha hewa cha mpira pofu na kifumbu
cha kupumua katika sabuni ya maji na maji pekee.
Miminya kabisa kwa kitambaa safi.
5. LOWESHA kisafisha hewa cha mpira pofu katika oili
safi ya injini na uimiminye na kitambaa safi kuondoa
mabaki ya oili.
6. RUDISHA kisafisha hewa cha mpira pofu na
kifumbu cha kupumua ndani ya msingi.
8
3 4 5
3 9
BRIGGSandSTRATTON.COM

Hide quick links:

Advertisement

Table of Contents
loading

This manual is also suitable for:

030674-00

Table of Contents