Udumishaji - Briggs & Stratton PowerSmart P2400 Operator's Manual

Hide thumbs Also See for PowerSmart P2400:
Table of Contents

Advertisement

Available languages
  • EN

Available languages

  • ENGLISH, page 1
Operesheni Sambamba
Jenereta hawilishi mbili za Briggs & Stratton zinaweza
endeshwa sambamba na mtambo-sambamba wa Briggs &
Stratton (kifaa si cha lazima).
Tazama maagizo ya mtambo-sambamba ili kupata
maagizo ya kina juu ya usakinishaji na matumizi ya
jenereta zilizounganishwa.
Mfumo wa Kuzima Kaboni Monoksidi (CO)
Kielelezo
1
Mfumo huu unazima injini kiotomatiki wakati viwango
hatari vya kaboni monoksidi vinakusanyika karibu na
jenereta au hitilafi inatokea kwenye mfumo wa kuzima
CO. Baada ya kuzimwa, taa ya kiashirio (U) itamweka kwa
angalau dakika tano kulingana na chati iliyo hapa chini.
Mfumo wa kuzima CO HAUCHUKUI nafasi ya vingo'ra
vya kaboni monoksidi. Weka ving'ora vya kaboni
monoksidi vinavyotumia betri ndani ya nyumba yako.
Usiendeshe jenereta katika maeneo yaliyofungwa.
Rangi/Mtindo Maelezo
Nyekundu
Kaboni monoksidi imekusanyika
karibu na jenereta. Hamisha jenereta
•• ••
hadi eneo wazi, nje mita 6.1 mbali
na maeneo yenye watu au wanyama
huku ekzosi ikielekezwa mbali. Kuzima
otomatiki ni onyesho kwamba jenereta
haikuwa imewekwa mahali mwafaka.
Fungulia hewa (k.m. fungua madirisha
na milango) kabla ya watu au wanyama
kuingia.
Ukianza kuhisi mgonjwa, kizunguzungu,
mchovu, au ving'ora vya kaboni
monoksidi vikilia wakati unatumia bidhaa
hii, nende mahali penye hewa safi mara
moja. Wasiliana na watoa huduma za
dharura. Huenda ukawa umeathiriwa na
sumu ya kaboni monoksidi.
Buluu
Hitilafu imetokea kwenye mfumo wa
kufungia CO*.
• • •
Tembelea muuzaji huduma
aliyeidhinishwa wa Briggs & Stratton.
* Taa ya buluu itamweka kwa sekunde tano jenereta
inapoguruma ili kuonyesha kwamba mfumo wa kufungia CO
unafanya kazi vizuri.
Hatua ya 5: Kuzima Jenereta
1. Zima na uondoe vifaa vyote vinavyotumia umeme
kutoka kwenye plagi za paneli ya jenereta. Usiwahi
zima injini huku vifaa vinavyotumia umeme vikiwa
havijaondolewa na vimewaka.
2. Acha injini iendelee kunguruma bila vifaa
vinavyotumia umeme kwa dakika moja ili kuimarisha
hali joto la ndani ya injini na jenereta.
3. Zungusha kidude cha kugurumisha (K) hadi eneo
linaloonyesha zima (0).
8

Udumishaji

Ratiba ya Udumishaji
Fuata mpishano wa saa au kalenda, yoyote ile
inayotangulia. Huduma ya mara kwa mara zaidi inahitajika
wakati unapoendesha kwenye hali mbaya zaidi.
Kila Baada ya Saa 8 au Kila Siku
Mwezi wa Kwanza au Saa 10
Kila baada ya Saa 50 au Miezi 3
Kila baada ya Saa 100 au Miezi 6
Mapendekezo Jumla
Udumishaji wa mara kwa mara utaboresha utendakazi
na kuongezea maisha ya jenereta ya nje. Tembelea
Muuzaji Huduma yeyote Aliyeidhinishwa wa Briggs &
Stratton ili kuhudumiwa. Uwekaji sehemu na kazi kubwa
ya ukarabati ni lazima zifanywe na wafanyikazi wenye
mafunzo maalum.
Hakikisho la jenereta halisimamii vifaa vilivyotumiwa
vibaya na kutelekezwa na mwendeshaji. Ili kupokea
thamani kamili ya hakikisho, ni lazima mwendeshaji
adumishe jenereta jinsi alivyoelekezwa kwenye
mwongozo huu.
maswali kuhusu kubadilisha vijenzi kwenye jenereta
yako, tafadhali tutembelee kwenye tovuti yetu
BRIGGSandSTRATTON.COM.
Kielelezo
1
nyingine ili kubadilisha kasi. Usifanye mabadiliko kwenye
jenereta kwa njia yoyote ile.
EU Stage V: Viwango vya CO2
Viwango vya CO2 vya injini zilizoidhinishwa za aina
ya Briggs & Stratton vinaweza kupatikana kwenue
BriggsandStratton.com kwa kucharaza CO2 ndani ya
upau wa kutafuta.
• Safisha vifusi
• Kagua kiwango cha oili ya injini
• Badilisha oili ya injini
• Safisha chujio la hewa la injini
• Badilisha oili ya injini
1
• Hudumia plagi ya spaki
• Kagua mafla na kishika cheche
• Safisha kikombe cha uchafu wa mafuta
Fanya huduma mara nyingi zaidi katika hali chafu au zenye vumbi.
1
Tembelea muuzaji huduma aliyeidhinishwa.
2
ONYO! Ili kuhakikisha usalama wa mashine,
tumia tu sehemu asilia kutoka kwa mtengenezaji
au kuidhinishwa na mtengenezaji. Ukiwa na
TAHADHARI Kasi za juu au chini zaidi kupita
kasi zinaweza kusababisha majeraha madogo.
Usichokore springi ya gavana, viungo au sehemu
BRIGGSandSTRATTON.COM
1
1, 2
2

Hide quick links:

Advertisement

Table of Contents
loading

Table of Contents