Briggs & Stratton PowerSmart P2400 Operator's Manual page 244

Hide thumbs Also See for PowerSmart P2400:
Table of Contents

Advertisement

Available languages
  • EN

Available languages

  • ENGLISH, page 1
Jedwali la Yaliyomo
Alama za Usalama na Udhibiti. . . . . . . . . . . . . . . . . . 4
Maelezo ya Kifaa . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 4
Vipengele na Vidhibiti . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 5
Uendeshaji . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 5
Udumishaji. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 9
Uhifadhi . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 10
Kutatua Matatizo . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 11
Vipimo Maalum . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 11
Hakikisho. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 13
Alama za Usalama na Udhibiti
Alama ya tahadhari ya usalama inaonyesha hatari iliyopo
ya majeraha ya kibinafsi. Alama ya usalama inaweza
kutumika kuwakilisha aina ya hatari. ONYO inaonyesha
hatari ambayo, isipoepukwa, inaweza kusababisha kifo
au jeraha mbaya sana. TAHADHARI inaonyesha hatari
ambayo, isipoepukwa, inaweza kusababisha jeraha dogo
au wastani. ILANI inaonyesha maelezo yanayozingatiwa
kuwa muhimu, lakini hayahusiani na hatari.
Alama ya
Mwongozo wa
Tahadhari ya
Usalama
Moshi wenye
Mshtuko wa
Sumu
Umeme
King'ora
Waya Baki
cha Kaboni
Ambao
Monoksidi
Haijaunganishwa
na Chochote
Kiwango cha
Oili
Oili
Swichi ya
Washa
Kukata
Umeme
Maelezo ya Mawasiliano ya Ofisi ya Ulaya
Ukiwa na maswali kuhusiana na mafukizo ya Ulaya,
tafadhali wasiliana na ofisi yetu ya Ulaya kupitia:
Max-Born-Straße 2, 68519 Viernheim, Ujerumani.
4
Fanyia Jenereta
Maagizo
Huduma
Moto
Eneo Moto
Waya wa Ardhini
Mafuta
!
Zima Mafuta
Usiwashe
Injini
Zima
Utoshaji
Maelezo ya Kifaa
Soma mwongozo huu kwa makini na
ufahamu kuitumia jenereta yako ya nje. Jua
matumizi yake, upungufu wake, na hatari
zozote zinazohusika. Hifadhi maagizo haya
asili kwa marejeleo ya siku zijazo.
Jenereta ya invata ni jenereta inayoendeshwa na
mtambo, ina eneo la kuzungukia, ya umeme wa AC na
DC. Jenereta hii imeundwa kutoa nishati ya umeme ya
kutumika kwa taa vifaa, zana za umeme na mageuzo ya
umeme. Eneo la kuzungukia la jenereta hii linaendeshwa
na mashine ya silinda moja.
Jenereta ya kubebeka inaweza kutumiwa kuendeshea
vipengee vya umeme vya nje kwa kutumia kebo ndefu
au kurejesha nishati kwenye makazi kwa kutumia swichi
ya ubadilishaji. Swichi ya ubadilishaji ni kifaa tofauti
kinachowekwa na fundi wa umeme aliye na leseni
kinachoruhusu jenereta ya kubebeka kuunganishwa moja
kwa moja kwa kutumia kebo ndefu, kwenye mfumo wako
wa umeme nyumbani. Weka swichi ya ubadilishaji isiyo
otomatiki punde iwezekanavyo iwapo jenereta itatumiwa
kurejesha nishati nyumbani.
Jenereta haikusudiwi kuhudumia mifumo ambayo
inahitajika kisheria, kwa usalama mkubwa wa maisha au
hatari kubwa za kiafya, au ambapo ukosefu wa nishati
kunazuia shughuli uokoaji wazima moto.
Kila jitihada imefanywa ili kuhakikisha kwamba maelezo
katika mwongozo huu ni sahihi na ya sasa. Hata hivyo,
tunahifadhi haki ya kubadilisha, kurekebisha, au vinginevyo
kuboresha jenereta na hati hii wakati wowote bila ilani.
ILANI Ikiwa una maswali kuhusu matumizi
yanayokusudiwa, wasiliana na muuzaji huduma
aliyeidhinishwa. Kifaa hiki kimeundwa kutumiwa na
sehemu zilizoidhinishwa za Briggs & Stratton® PEKEE.
Msingi wa Mfumo
Jenereta hii ina msingi wa mfumo unaounganisha vijenzi
vya fremu ya jenereta kwa nyaya za ardhini kwenye plagi
za kutoa umeme za AC. Waya baki (neutral) ya jenereta
haijaunganishwa na chochote (
mtatio wa rota ya AC umetengwa na kitango ardhini cha
plagi ya pini za AC za ardhini. Vifaa vya umeme, kama vile
RCD, vinavyohitaji waya baki (neutral) ya ardhi huenda
visifanye kazi vyema vinapotumia jenereta hii. Kuweka
waya ya ardhi hakuhitajiki unapotumia jenereta hii.
Mahitaji Maalum
Kunaweza kuwa na kanuni, sheria za ndani, au sheria
zinazohusu matumizi yaliyokusudiwa jenereta hii. Tafadhali
pata ushauri wa fundi umeme aliyehitimu, mkaguzi wa
umeme, au wakala wa ndani wenye mamlaka.
Jenereta hii haijakusudiwa kutumiwa katika mahali pa
ujenzi au mahali pa shughuli sawia.
Utupaji Taka wa EU
Ishara hii inaonyesha kuwa mmiliki wa
betri na vifaa vya kiumeme au
kielektroniki hapaswi kutupa bidhaa hii
na taka taka ambazo hazijachambuliwa
za manispaa. Bidhaa hii inapaswa
kutupwa kwenye maeneo yanayofaa ili
kulinda mazingira. Tafadhali wasiliana na Briggs &
Stratton au muuzaji wako wa bidhaa reja reja wa ndani ili
kupata maelezo zaidi kuhusu utupaji.
), ikimaanisha kwamba
BRIGGSandSTRATTON.COM

Hide quick links:

Advertisement

Table of Contents
loading

Table of Contents